Pamoja na kuonekana kama kero lakini wafuatao huwa wananifurahisha sana....

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
Ritz1, Rejao, Mzee, Mwita25/Bundajo (siku hizi amebadilika kiajabu-ajabu), watu hawa kwa mtazamo wangu wameamua kwa makusudi tu kuwa kinyume na hoja ili tu kuumiza vichwa vya watu kwa makusudi lakini ukweli wanaujua ila wanatoa changamoto tu, hakika wanachangamsha jamvi, kama si kwa comments zao basi ni kwa namna watakavyojibiwa. Kwa kifupi wanajitambua na wana upeo mkubwa.
Najua mtajiuliza kwa vipi nimemuacha FF na MS kwenye kundi hili, kwangu mimi 'dada' huyu na Malaria Sugu ni watu wanaongea wanachokiamini na walicho kidhamiria na ni ma conservative wanaodhani wanakijua sana wanachokipinga lakini hawajui kuwa hawajui wanachokisimamia na kukiwakilisha (mnisamehe sina nia mbaya ni uchambuzi tu), hivyo siwaweki kundi moja na wenzao, lakini nao wana umuhimu wao katika kuchokoza hisia za watu humu ndani.
 
Dah..hi habari yako imenihuzunisha sana, na nimesikitika sana. Nakupa siku tatu ufute kauli yako..
 
hahaaa Kwa kutumia law of tort utashinda kesi na nitaamuliwa kukulipa japo hata 200, sijawahi sikia mtu kapoteza kwenye kesi ya tort.....tofauti na hapo utakuwa kazi.
Just prove me wrong...lol
 
Ritz1, Rejao, Mzee, Mwita25/Bundajo (siku hizi amebadilika kiajabu-ajabu), watu hawa kwa mtazamo wangu wameamua kwa makusudi tu kuwa kinyume na hoja ili tu kuumiza vichwa vya watu kwa makusudi lakini ukweli wanaujua ila wanatoa changamoto tu, hakika wanachangamsha jamvi, kama si kwa comments zao basi ni kwa namna watakavyojibiwa. Kwa kifupi wanajitambua na wana upeo mkubwa.
Najua mtajiuliza kwa vipi nimemuacha FF na MS kwenye kundi hili, kwangu mimi 'dada' huyu na Malaria Sugu ni watu wanaongea wanachokiamini na walicho kidhamiria na ni ma conservative wanaodhani wanakijua sana wanachokipinga lakini hawajui kuwa hawajui wanachokisimamia na kukiwakilisha (mnisamehe sina nia mbaya ni uchambuzi tu), hivyo siwaweki kundi moja na wenzao, lakini nao wana umuhimu wao katika kuchokoza hisia za watu humu ndani.

Mkuu ulichokifanya hapo kuhusiana na Mwita25 na kumfananisha na Bundajo ni kinyume na miongozo ya JF. Jaribu kurejea sheria za JF na nakushauri uwe unazipitia japo mara moja kila miezi miwili ili usiharibu hali ya hewa tena. Nimejaribu kukuelezea kwa lugha ya upole ili upate muda wa kunielewa.
Asante.
 
Ulitengeneza mazingira ya kufananishwa, soma hii

Mi mwenyewe nimepigwa ban lakini watu hawajui

source: Hivi kuwa banned kuna msaada gani?

Lakini nimekuelewa concern yako mkuu naongeza idadi, toka wanne hadi watano ili tuwe na mwita25 na Bundajo separately... I hope hiyo itakuwa imekaa vizuri.
 
hahaaa Kwa kutumia law of tort utashinda kesi na nitaamuliwa kukulipa japo hata 200, sijawahi sikia mtu kapoteza kwenye kesi ya tort.....tofauti na hapo utakuwa kazi.
Just prove me wrong...lol

sina haja ya monentary compensation kutokana na kunichafulia jina..nachotaka ni ufute kauli yako within hizo dayz nilizoweka. Pia uombe msamaha hapa jamvini. Watu wengi hapa jamvin wananiheshimu, na wanaheshim michango yangu..maneno yako yanisabishia damage kubwa sana.
 
hahaa haaaa haswa yaani siku hizi umeanza kuheshimika maana unajichanganya mpaka MMU, JLS limekuzidi nguvu
 
MMU pakupumzikia..... Maisha ya kazi yasikufanye usahau familia, uhusiano na urafiki! Jukwaa la siasa haliwezi kunishinda, nawaona wengi siyo waelewa..kazi kushabikia chama wasichokifahamu, kisicho na mbele wala nyuma, chama ambacho kila mtu anajiamulia anachoona ni sawa..!
 
Huo uchambuzi wako sijui umetumia vigezo gani.

Naomba unitake radhi, umenidhalilisha sana. Nimejisikia vibaya sana.

Naheshimu mawazo yako.
 
Back
Top Bottom