pamoja na kunifumania na mke wako usiku wa kuamkia Leo,Plz nirudishie vitu vyangu!

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Duh hii ni hatari ni hapa hapa Dar maeneo ya Kinondoni,picha limeanza nilikuwa na mdada mmoja ambae alikuwa nyumba yake kama kama kawaida yangu sikuwahi kumuona wala kusikia wala kuniambia kama ameolewa,karibu karibu mwisho wa siku jana nikazamia kwa minajiri ya kula mzigo duh mashalaaah nikafanikiwa kulamba kama mbili hivi mwisho wa siku mlango ukagongwa mwenyewe full kupagawa ohoo ananiambia mme wake kaja!nikapagawa sana kwenye kabati sitoshi,chini ya uvungu ndo kabisaaaa tukakubaliana afungue mlango tu na me nitoke nduki ndivyo tulivyofanya,nikakimbia nikaacha viatu vyangu,suruali ya kadeti,simu zangu BB 9300 na Iphone 4 plus shati!hoja namshukuru mungu nimepona lakini naomba mwenyewe yule mwanamke kama yupo anitafute anirejeshee vitu vyangu ntamuelekeza sehemu akaviache jamanintaenda kuvifata maana ni kama ml 2 hv!anionee huruma kama yupo humu!
 
wewe ni pumbavu kama co chizi angalia utashikiswa ukuta hivihivi kuwa makini bwana mdogo
 
Back
Top Bottom