Pambano la Klichko na Dogo Muingereza linaanza muda si mrefu

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wakuu mapambano ya awali nda yanaanza sasa hv then baadae tuone mrusi na muingereza nani zaidi maana walizozana sana wakati wanapima uzitoi hawa jamaa juzi!
 
nalingoja hili pambano sana tu...dogo mwingereza juzi aligwa fain baada ya kum punch kilch..halafu huyu klichi sio mrusi
 
Ukraine kaka typing error sorry wadau!dogo sijui labda itokee kama ya zambia na CIV!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom