Pale Mto Kikafu!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
IMG_1124.JPG
Nimeikuta hii nikitoka Arusha kuelekea Moshi , pale mto Kikafu.
Toa maoni yako!
 
Maisha ya abiria yapo hatarini,lakini usijali sana hicho chuma ni toyota stout kitafika tu.
 
Hiyo Stout ilivyojaza ni balaa.
Lakini nasikia huko mahala bado iko tupu na hao kina mama wamepata siti za kulala!
 
Back
Top Bottom