Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Juzi usiku narudi home nikasema nisimame pale mbele ya Meeda Sinza kuna duka lipo pembeni ya barabara ninunue vocha, ni mapema tu saa moja usiku. Napaki tu hamadi! wale wadada wamezunguka gari wametokea gizani,Sasa nikajiuliza je akitokea mwandishi wa Shigongo ghafla apige picha si naingia aibu na mai waifu ananikimbia!!!!
Hivi siku hizi biashara hii inaanza mapema eeeh? :hatari:
Hivi siku hizi biashara hii inaanza mapema eeeh? :hatari: