Pale Korogwe kwenda Mombo unawezaje kukimbia 80kph na msafara wa kiongozi?

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Nimeshangaa sana eti msafara wa makamu unakimbia 80kph pale korogwe kwenda mombo...ile terrain is extremely dangerous hata ukiwa unaenda 60kph hivi hawa viongozi wetu hofu ya nini mpaka kukimbia kiasi hicho?
 
Hapo kwenye red, ni kwa ajili ya usalama mkuu!
 
Kwani huwa wanajuaga barabara ni mbaya au ndogo basi?
Wao ni kukimbiza tu, yani japo mi simfatiliaji wa sheria za barabarani,lakini nazijali.
 
kayagila. sifahamu uzoefu wako ktk uendeshaji magari ktk barabara kuu lkn mwendo huo unaosema ni speed ndogo ktk ile barabara.unapunguza mwendo unapokuwa unapita maeneo ya vijiji,vivuko vya reli na kona kali.
 
Unaijua terrain ya pale Korogwe? au unaongea tu kujifurahisha?
 
Wapi umeona mwizi akisha pigiwa alarm MWIZIIII na akatembea kwa mapozi. Tambua mwenyewe.
 
Hii muna ujasiri wa ku-discuss, Uzembe wa Regia ilikuwa mapenzi ya Mungu?! Wanafiki!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom