Pale HG anapokuheshimu na kukuhudumia kuliko wife

Hahaha! I ddnt know I'm such a smart a*s,lol! Gotcha! Uliwaza nini kuwa na I'd name hii, sera zinakupungukia eeh? Siri yetu,ukiniudhi tena nakusemea kwa mwita25!

Tajiri wa sera mimi wewe na kamwe haziwezi kunipungukia. So if you want to shoot then shoot. Don't talk. Okay?
 
Mie wala sitii neno hapa, maana najua madhara yake...................
 
Shetani kazini ila nikufahamishe;

1. HG hizo ndio kazi zake kasoro kuvaa kanga moja na kuja kujikalisha sitting room na baba mwenye nyumba..angekewa HG wangu ningeshamtimua siku nyingi

2. Kama unampango wa kumchukua huyo HG ujue kabisa unachukua mtu aliyekubuhu ndio maana anajua hata mitego ya kukunasa, usije jidanganya kwamba ni supu ya kuku wa kienyeji

3. Ukae ukijua ya kuwa unashea kama sio na houseboy wako basi wa jirani na kama si houseboy wa jirani basi yule mangi wa pale dukani..

4. Na ukisha du naye ujue kiburi kitaanza na mimi kama mama mwenye nyumba nitamtimulia mbali sijui utamfuata huko ukampangie!

5. Mimba itakapoingia sijui mtaitoa au utakubali kulea mtoto, utajua mwenyewe...
 
Mjomba angu aliamua kuoa house girl tu aliona mke wake hakuna anacho kifanya watoto analea house girl kufua anafua house girl chakula anapika house girl kila kitu anafanya house girl basi akaamua hata penzi awe anampa house girl na hakuona umuhimu wa kukaa na mke wake maana alikuwa anajaza nafasi na kumuingiza hasara.
 
Mpe hongera sana mjombao. Enhee,baada ya kuoa hgeli keshawapa happy ending yake? Manake mi nnaowaona wana majuto zaidi ya furaha!
Mjomba angu aliamua kuoa house girl tu aliona mke wake hakuna anacho kifanya watoto analea house girl kufua anafua house girl chakula anapika house girl kila kitu anafanya house girl basi akaamua hata penzi awe anampa house girl na hakuona umuhimu wa kukaa na mke wake maana alikuwa anajaza nafasi na kumuingiza hasara.
 
sometimes akina mpora (mwali) mnazidi,
wewe ni mtu mzima,
lakini jitahidi uweke mazingira mazuri.
 
nyie wanaume banaa, mna akili kuliko sie lakini hamuwezi kuzitumia. mwanamke ukimjulia atakuhudumia kama punda na hachoki! kama na ww uko kwa pc na jf afu unasema 'naomba chai', hata humuangalii usoni mkeo unadhani atafanyaje zaidi ya ku-shout 'dadaaaa, chaiiiii'! badala ya kumvuta mkeo, umnyang'anye remote na kumbusu kidogo umuambie mke wangu,nna hamu na chai yako manake dada hajui kutengeneza chai kama ww. undahani atakataa? umetamani harufu naturale ya mkeo, ushamuambia 'mpenzi, usipulizie perfume leo,nna hamu na harufu yako mwenyewe..' halafu akakujibu kwa ujeuri?
unakaribisha shida baba. utatembea na huyo dada na watoto wako watakiona cha moto! kuna moto wa mama yao, na wa dada anayejitahidi awe mama yao. urudi hapa professor tutakushauri tena ukishavaa balaa

Mi penda wewe sana!!!!
 
Nadhani ndio mwanzo wa mitego ya kukunasa hapo! HG kutokea kigoma, singida, usukumani dah. Kimbembe kipo kwa wale wa Iringa wapenda madawa!
 
Usisahau asubuhi nikiamka ninaekutana nae ni dada, kafunga kanga moja na kama kawa anaandaaa chai fasta na kwa heshima zote, usisahau mambo yote ya mtoto anasimamia dada, kumuogesha kula na akilia anambembeleza yeye... na mama kasisitiza alipwe elfu 20,00 tena baada ya kusisitiza kwa umakini...
Profesa, angalia hapo red - huyo ni sawa na mtoto wako, mfunze heshima hayo ya kuvaa kanga moja ni ishara kuwa hakuheshimu, anakutegeshea. Usipoangalia, nyumba yako itabomoka na utakutwa na aibu.
 
Mjomba angu aliamua kuoa house girl tu aliona mke wake hakuna anacho kifanya watoto analea house girl kufua anafua house girl chakula anapika house girl kila kitu anafanya house girl basi akaamua hata penzi awe anampa house girl na hakuona umuhimu wa kukaa na mke wake maana alikuwa anajaza nafasi na kumuingiza hasara.
Hatari ni kuwa ukishakuoa HG, anakuwa mke wako, yale yote aliyokuwa anafanya kama HG itakuwa si majukumu yake tena. Itabidi utafute HG mwengine. Mke HG atakuwa kama mke ulomwacha mwanzo, je utao HG mpya? Kiko wapi kikomo chako?
 
prof pole sana ila tatizo lako kama langu naona umeniiga mzee
 
dah, wewe nahisi umefall kwa huyo HG. Harufu natural ndio ipi, ya kikwapa au? Shetani huyo akupitie mbali.
 
Back
Top Bottom