Pale gharama ya kupigia debe kinga inapotosha kumaliza chanzo cha tatizo

MAMENGAZI

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
780
128
Wana jf, kila nikisikia au kuona matangazo ya malaria haikubaliki kabisa, matangazo ya kuitaka kila familia ipate vyandarua kwa kujikinga na mbu waambukizao ugonjwa huo na semina na makongamano kwa ajili ya ku discuss issue hiyo napata shida kufikiria ni gharama kiasi gani iliyotumika na inayoendelea kutumika kwa matangazo hayo na manunuzi ya vyandarua hivyo na semina na makongamano na kujiuliza kama kweli isingetosha kuangamiza na kufutilia mbali kabisa mazalia ya mbu na usemi wa malaria haikubaliki kabisa ukaleta maana kuliko ilivyo sasa.
 
Kwa nini wasihangaikie kuua mazalia ya mbu,vyandarua vyandarua..watu wanazidi kufa na malaria.
 
Back
Top Bottom