Paka wangu nimemfundisha hivi angalieni

Duh unakazi yaani unaenda youtube kusearch hii kitu mhh inabidinifikirie mara 2
 
Duh unakazi yaani unaenda youtube kusearch hii kitu mhh inabidinifikirie mara 2
Unachofikiria nini na nimekwambia Paka wangu huyo nimemfundisha jinsi ya kutumia Toilet hujashangaa kuona meli inaelea baharini shilingi inazama baharini!!!!!!!!!!!!! hujajuwa kila kitu siku hizi wewe tafuta Youtube au Google Search engine utapata??????? Upo Bibie mpendwa????????????????????
 
Back
Top Bottom