Paka wangu analea mtoto wa panya.

This is a busness opportunity given to you. Katafute quality vidoe camera, uchukue ma event kibao ya hao paka na huyo panya, fanya uchunguzi ujue ni kwanini iko hivyo ukauze kwenye TV za mbele huko. Huwezi jua bana, unaeza kupata viilaki kibao mkuu.

ni kwei aloo, aho uzaonga.
 
Aaa mama, hawa paka hawana sababu ya kumla huyo panya; kwanza ni kichanga hajui kitu-watapata dhambi tu kumla. Pili paka wameshiba hao, ukiwasahau ndani siku mbili bila chakula utakuta wamemla halafu wanalia kuomboleza!!! te teh!
ha ha ha inawezekana kweli!!
 
This is a busness opportunity given to you. Katafute quality vidoe camera, uchukue ma event kibao ya hao paka na huyo panya, fanya uchunguzi ujue ni kwanini iko hivyo ukauze kwenye TV za mbele huko. Huwezi jua bana, unaeza kupata viilaki kibao mkuu.
umenipa wazo zuri sana mkuu na hivi hali ya maisha na uchumi ngumu
 
Oooo,mkuu watu wana ujuz wa lugha,ngoja niangalie picha
umeonaje picha?ila nimefurahi kwa sababu hili tukio linafundisha!ingawa wakati wa kupost sikuwa na haya mawazo,sio wote tunaowaona marafiki katika maisha wanatutakia mema wengne kunawachosubiria wakipata wanatumaliza,ila ni mfano mzuri wa serikali wanatunganya na barabara zisizoisha kumbe wanajua pesa wanazotumia tutarudisha vp?kuna mengi ya kujifunza embu tuchangie pamoja tujuzane mfano huu unafundisha nini
 
Juzi kaka anayetusaidia kazi alikamata panya watatu mmoja mkubwa, wawili wadogo lakini mkubwa na mdogo mmoja akawaua akampa paka wangu ambaye naye amezaa watoto watatu akawala wale waliokufa. akamtupia paka wangu katoto kamoja ka panya kaliko hai huwezi amini alikachukua hadi kwenye box walipo watoto wake mpaka leo kale kapanya kapo hai na kanalala na hao watoto wa nyau na mama nyau yupo! hapa nyumbani tumekumbwa na mshangao hivi kuna mtu alishaona hili? na je huyu paka ana akili timamu?
Mh!kapo hai na kamekaa siku ngapi,ina maana mama paka anakanyonyesha?manake vinginevyo kangekufa kwa njaa kali!
 
Mh!kapo hai na kamekaa siku ngapi,ina maana mama paka anakanyonyesha?manake vinginevyo kangekufa kwa njaa kali!

hii siku ya tatu ndugu yangu kuhusu anakula nini kwa kweli sijui lakini mama paka yupo friendly sana kwa hiko kipanya, ila tunawapaga nyau chakula usiku labda anakula kama sivyo basi sijui ila hapa nyumbani kuna mjadala tukaue au takaache hako kapanya tuone mwisho wake embu tupe mawazo, kukiua ni kwa sababu kakiendelea kukua na watoto wanyau wakiwa wakubwa hawatajua panya ni adui na kukiacha ni kwa ajili ya kuona mwisho tu. embu tupeni mawazo wakuu
 
Msikaue,subirini kuingia katika kitabu cha maajabu duniani(GUINNESS),"wana-paka waishi na mwana-panya na kuishi kama marafiki".
 
Msikaue,subirini kuingia katika kitabu cha maajabu duniani(GUINNESS),"wana-paka waishi na mwana-panya na kuishi kama marafiki".

ha ha ha ha nimependa wazo lako ha ha ha embu nipe link niwatumie watu wanaoandaa hicho kitabu ha ha ha umenifurahisha
 
Angalia hii video ambayo Chui aliuwa Nyani na kumbe nyani alikuwa na mtoto.

Mama alipoliwa na mtoto kubaki, kasheshe ilianza kwa chui huyo. Kama unaroho nyepesi basi anzia 1:30mins.

Last edited by a moderator:
Dah! Nimeiona hyo pic,hlo zali m2 wangu wachukue shootn maisha yao hata kwa masaa24 kabla kapanya hakajajitambua kakarun away,Hongera n n da bect bt mi naona kama miujiza hv.
 
Paka wako amekaonea huruma hicho kitoto cha panya..kwan bado ni kachanga wala hakajaweza kufanya uharibufu.....mama paka anakalewa kwa ajili ya kitoweo cha watoto wake. siku sio nyingi kitaliwa na hao watoto wa paka
 
Unbilievable! kwa nini usijaribu kutangaza hiyo habari magazetini? haitokei sana kesi kama hiyo...
 
Nafsi inamsuta huyo paka ndio maana kashindwa kumla huyo ndama wa panya. Au kwa vile na yeye ni mzazi so anaona uchungu kuua....

Yaani panya waliokufa amewala halafu huyo mtoto anamlea? Hii kama vile Tom and Jerry..........
 
Unajua paka hanaga akili,kwa sasa anakaona kama katoto kake kakikuwa ndo atagundua kuwa sio.
We ckilizia uje uone yaana katapata shida kinoma m'n paka anatabia ya kutesa taratibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom