shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,153
Kiufupi bila kumung'unya maneno jicho la tatu maanake ni kumfungulia rasmi shetani mlango katika maisha yako.
Baada ya kumfungulia huo mlango shetani anakuongezea uwezo katika kutafakari na kupambanua mambo ikiwa ni pamoja na ugunduzi wa vitu mbali, kufanikiwa katika biashara, siasa,uwezo wa akili kuongezeka, nzota yako kung'aa zaidi ya wengine na mengineyo.
Maana naona watu hawaelewi huu mchezo wa jicho tatu.
Ndugu zangu hamna zaidi ya ushetani, ni shetani kazini.
Kwa hiyo fungua ila ufahamu unakaribisha nini katika mwili wako.
Ni kweli katika mtizamo wa kidunia unamanufaa ila kiroho unakuwa tayari uko motoni.
Pia zingatia shetani ndio baba wa uongo watukuja hapa kipindisha ukweli ni waendelee kukunasa.
Now kama unataka ufanikiwe hapa duniani lakini kwa upande mwingine uko motoni, wewe fungua hilo jicho la tatu maana changuo ni lako, hata Adamu ana Eve waliopewa uchaguzi ila baada ya kuongeza hilo la tatu wote tunajua kilichofuata.