Pajero Io GDI for sale

Nauza pajero IO au wengi mwaifahamu kama GDI nyeupe ya mwaka 1999 ina km 110,000 kama unahitaji nitumie email kwa lushe2010@yahoo.com kwa picha na maelekezo zaidi.

Karibu, MF.

Mitsubish Pajero maarufu kama "mke mkristo" ikiwa na maana ukiwa nalo ni vigumu sana kuachana nalo ila kutengana nalo kwa maana ni gumu kuuzika. Anyway all the best. Na kikubwa zaidi ungeweka picha ukaziadobe hiyo kitaalamu inaitwa "invitation to treat"
 
umekosea hizi ni gdi kama mke mwisilamu ukichoka unampa talaka unachukua mwingine hizi zipo marketable sana engini zake nzuri ila spare zipo juu kdogo wengi wanaweka engine za escudo
 
Back
Top Bottom