Paja la aunt ezekiel..

Post nyingine zinasababisha jamii forums ionekane kama kijiwe cha kujadili majungu na umbea.
Mfano ni hii thread iko very personal na haina maslahi kwa mtu mojamoja wa kwa taifa kwa ujumla

At least wee umeliona na umelikemea, unastahili kuwa GREAT THINKER.


nisaidie Bujibuji......yaani kweli cjui JF imekuwaje, cjui nani wa kulaumiwa...khaaa!

Aah!! bibie nyamayao upo?!, mbona kimya?! JF siku hizi imevamiwa na watoto wadogo waliokosa maadiri mema. Watu wanaposti post za hovyo ili waonekane kuwa wamechangia post nyingi.
 
Thread ipo ki-ngono ngono zaidi. Lait angekuwa dada ako au ndugu yako ungethubutu kuileta hapa!?? Anyway sio nia yangu kumsema vibaya mwenye thread ila anatakiwa ajifunze na aone jinsi wana JF wasivyozipenda post za aina hii.

I do agree wit u 100%.:embarrassed:
 
Hivi jf si the place of great thinkers ?!!!! Sasa vitu kama hivi vyakishankupe vinakujaje huku?? Tubadilike wana jf. Inasikitisha kwa kweli kwa sasa jf inapoteza hadhi kiasi....maoni mengi na thread nyingi zimeegama kwenye '' udaku na udini''' tuje na hoja kamambe na za kibingwa za kikweli za kiudadisi ....let be real great thinkers....
 
Hatutakiwi tuwe so judgmental, hii picture ilichukuliwa from a certain movie she acted,but we already jump to conclusions why jamani? or because your loved ones pictures are not possible to be found?............................Wake up JF lets get a life and think critically on how to bring down Chenge,and all their company
 
Hii ni b*ll sheet, zeutamu staili acheni hizi maramoja tuna mambo muhimu ya kujadili
 
Back
Top Bottom