Pole FL1 kwa yote yalokusibu. Huyo ma' mdogo atimuliwe, halafu peleka shauri kwa wazazi wa mmeo.
Maumivu ya moyo hayaishi, cha msingi jaribu kuyasahau kwa kuji-keep busy na shughuli zako. Usijaribu kumkomoa mmeo kwa kutafuta mwanaume mwingine!
Mwambie mme wake afanye taratibu amuoe tu si wamependana!
Kuna jamaa sisi bush huko kaoa mabinti wa 3 nyumba moja anamega kama hana akili nzuri.
ku do ni ku do tu haijalishi ni nani ukipandwa na minyege yako ni sawa na moto hakuna wakuuzima ni maji kama mnanifungia na mumeo ndani kila siku unategemea nikipandwa nazo nimpe nani na mwanao bado mdogo
hivi mwanaume unajickiaje kabisa kumvua shemeji yako nguo, kweli unacmamisha? nasemaga kuna dharau lakini hii ya leo nitaiota, yewooomiii apa womi.
Babu yangu alioa wawili wa nyumba moja na mama zetu/wajomba walinyonya kote kote. Ila tofauti na hili, mila zilikuwa zinaruhusu na mke mkubwa ndiye alikuwa na uamuzi wa mwisho. Na hata baada ya kuoa ndugu, huyo mdogo alitakiwa kumheshimu sana dadake kwani kesi yoyote ilipopelekwa mbele ya wazee yeye ndiye alikuwa anabeba lawama kwanza. Ilikuwa ni utumwa fulani kwa mdogo mtu! Ila hii ya hawa dada itakuwa aina fulani ya movie kwani mdogo mtu tayari keshajitangazia ufalme.
kwakweli wakina mama kuna parameters ambazo technically huwa hamuziangalii IN THREE DIMENSIONS......!
unamletea mtu ''mboga'' nyumbani,tena kwenye kipindi ambacho ''una mtoto mmoja tayari...''
ndo maana mi huwa nadiskareji sana hii HOUSEGIRL MATERIAL na upuuzi wake wote...!lakini wake zetu hawaelewi!
unajua ''INFIDELITY'' is NATURALLY THERE!....
IT IS THERE TO STAY!....ukiijengea mazingira tu,kwishnehi
Mwambie mme wake afanye taratibu amuoe tu si wamependana!
Kuna jamaa sisi bush huko kaoa mabinti wa 3 nyumba moja anamega kama hana akili nzuri.
Wanaume wengine ni mabaladhuri kweli kweli nahci kama ningeua mtu hapo
Wanaume wengine ni mabaladhuri kweli kweli nahci kama ningeua mtu hapo
advice nyingine poison kabisa :confused2:
Jamani jamani wanaume muwe na huruma jamani na soni japo kidogo.... iweje muwe kula kula tu?? Yaani hamchagui na vya kula? ah mnakera sas nyie wenye tabia hiyo. Yaani ingekuwa mie ningefunga macho na ingewezekana ningeshikamana na mdogo wangu kisha kwa pamoja tunamtimua huyo mume tena kwa kumwaibisha ah. Vyangudoa nyie, wasichana wa kazi nyie, wafanyakazi wenzenu nyie bado kina Eliza wa viti virefu ah..... mtafikiri hamna utashi wa kujua lipi baya lipi zuri??? Sijui mnataka tuwe tunawafunga kamba za shingo kama mbwa?? ah wenye tabia hiyo mnakera sana.
Pole sana Mama flani huyo mwanaume ni mnyama na mdogo wako amerubuniwa tu (Unless ana umri sawa na huyo mumeo)
Ah mie nimechoka kabisa.
Aksante Baba_Enock nisamehe kwa kureact kwa hasira hivi ila mh..... Ni kweli mnashindwa kuwakemea? Akikutumia sms ya ajabu akikukalia vipaja nje yaani unataka kunambia ninyi ni dhaifu kiasi cha kushindwa kuishinda tamaa yako na vishawishi vyake? Mkemee shemeji yako noi sawa na mdogo wako. Hivi kweli mwanaume anawezafanya mapenzi na mdogo wake? ah (Nadhani nimeathirika kimahusiano kiasi cha kuwa unreasonable but frankly speaking nimechoka.)Usichoke MJ1
Wadogo zenu wa kike msiwalete kukaa nao nyumba moja! Wao ndio wanaowashawishi waume zenu na sio vice versa: Mara apitie kazini kwake; Mara amtumie sms; Mara amwombe hela ya Saluni; Mara hiki mara kile; What do you ladies expect?
Jamani jamani wanaume muwe na huruma jamani na soni japo kidogo.... iweje muwe kula kula tu?? Yaani hamchagui na vya kula? ah mnakera sas nyie wenye tabia hiyo. Yaani ingekuwa mie ningefunga macho na ingewezekana ningeshikamana na mdogo wangu kisha kwa pamoja tunamtimua huyo mume tena kwa kumwaibisha ah.
.
Taratibu Egyps:
Wanaume wengi Saaaaaaaaaaaaaana wanafanya ngono na mashemeji zao: Bahati ni kuwa mimba haziingi, vinginevyo cases kama hii zingekuwa nyingi sana!