Pains Over My Sister’s Pregnancy For My Husband…

loud and clear!......
hapo ndipo wanawake hutofautiana katika kufanya final-judgement!

from nowhere MWANAMKE NA AKILI ZAKE TIMAMU TENA AT THE AGES OF 30'S(umri ambao wanakuwa very active)....!anapaa kwenda uingereza KUFANYA MBA...!anamuacha jamaa home,tz tena anamleta mdogo wake awe anaishi hapo kuiangalia familia...!halafu anategemea patakuwa ''safe''

Kweli mwanaume unamtamani mdogo wa mkeo????
 
unajua dada lake mimi naomba uamini hivyo!
nakushauri uwe makini na hilo zaidi kwasababu litakuletea aibu kubwa kwenye familia!

ni kitu kinachowezekana kabisa!
kule BBA si umeona ule uchuro wa yule kijana aliyekiri kuwa alishawahi kuwa na mahusiano ''ya kimapenzi'' na mama na mwanae KWA WAKATI MMOJA

kwa sis wangu mpenzi cwezi kuwa na wac wac nae kabisa...looo huyu mdada ni mdada mwenye litabia la kipekee tu, tabia yake mwenyewe ya kuzaliwa nayo huyo....nategemea aibu nyingine kwenye familia lakini sio hii.
 
hivi vitu vipo nimewahi kuona kesi kama hii mtu alizaa na mdogo wa mke wake na baada ya mke kumtimua mdogo wake jamaa akampangia chumba akawa anaendelea, wale wanandoa walikuwa na migogoro mpaka watoto wao wakaathirika kisaikolojia darasani kuna mmoja alikuwa 3 akadrop mpaka wa pili kutoka mwisho ikabidi ndugu zao waje kuwachukua watoto na mkubwa kabisa akapelekwa boarding. Ilikuwa utata mkubwa sana halafu yule m/ume haelewi yaani ndg wanakuja kusuluhisha kutoka mikoani wanafikia kwake wanakaa kikao mchana jamaa jioni anaenda kwa mdogo mtu anarudi kesho yake tena sio asubuhi maana akitoka huko anaunganisha job anarudi jioni na nguo amebadilishia huko huko

Ila mpaka leo wale wanandoa wako pamoja na yule jamaa alimzalisha mdogo mtu watoto wawili

Duh hii kali kweli duniani kuna mambo
 
Kweli mwanaume unamtamani mdogo wa mkeo????
fl1,
hii mbona ni very minor case......
tena ni bora ''akamtamani tu''
wengi wao huishia kushirikiana ki-ngono

kitu ninachokiamini mimi ni kwamba kuna ''kutamaniana'' kutoka pande zote mbili ndo maana hatma yake huwa ni MAKUBALIANO YA KUFANYA NGONO
 
Kweli dada. Itakuwa ni kupoteza muda na resources kuanza kusafirisha ndugu (au hata hawatakiwi kusafiri) ili kuja kusuluhisha jambo ambalo limeshapitiliza. Kama ni mgonjwa tayari keshafariki. Kwa hiyo uamuzi anao huyo dada. Hata hivyo anaihitaji msaada wa Roho wa Bwana ili afikie uamuzi wa busara kabla hajakata koo la mdogo wake au kusaga balls za huyo mume.

cjui kwanini ndugu yangu nicngemdhuru bali ningemwacha dunia imfunze, lakini kwa mr wangu ctakaa nifikirie kumsamehe milele...inauma sana jamani, li hawara la nje tu huko hulijui hulifahau unakuta tu sms inaumiza ijekuwa ndugu yako wa damu?
 
halafu hili limwanaume ndio linaniudhi zaidi" eti alimbembeleza atoe" kwanini atoe wakati ulijua utavuna ulichopanda?.....mie hata sielewi kabisa.
 
Kweli mwanaume unamtamani mdogo wa mkeo????

Nimekumbuka kuna mdada mmoja alikuwa ananiambia siku akiolewa ataruhusu mdogo wake aje kukaa kwa mume wake kwasabu hata mdogo wake amuamini akawa anasema ni bora amaruhus strange kutoka nje aje kukaa kwao kuliko mdogo wake nikasema duh si mchezo mpaka mtu amefikia hatua ya kusema hivyo lazima kuna jambo somewhere
 
hivi vitu vipo nimewahi kuona kesi kama hii mtu alizaa na mdogo wa mke wake na baada ya mke kumtimua mdogo wake jamaa akampangia chumba akawa anaendelea, wale wanandoa walikuwa na migogoro mpaka watoto wao wakaathirika kisaikolojia darasani kuna mmoja alikuwa 3 akadrop mpaka wa pili kutoka mwisho ikabidi ndugu zao waje kuwachukua watoto na mkubwa kabisa akapelekwa boarding. Ilikuwa utata mkubwa sana halafu yule m/ume haelewi yaani ndg wanakuja kusuluhisha kutoka mikoani wanafikia kwake wanakaa kikao mchana jamaa jioni anaenda kwa mdogo mtu anarudi kesho yake tena sio asubuhi maana akitoka huko anaunganisha job anarudi jioni na nguo amebadilishia huko huko

Ila mpaka leo wale wanandoa wako pamoja na yule jamaa alimzalisha mdogo mtu watoto wawili[/QUOTE]

wana pepo hao khaaa.....watoto wangu niliowabeba miezi 9 na kuwalewa kwa kutokufunga jicho ucku cwatec coz ya mpuuzi 1.
 
Ofkoz...si ndo maana akawa mme......ila kwa nini umtege kwa kumletea mdogo wako???

jamani kuweni na ubinadamu kidogo, ina maana nyie hamuwezi waleta wadogo/kaka zenu nyumbani na mie nikawaheshimu kama shemeji zangu, kwanini mdogo wangu ageuke mtego?
 
hivi mwanaume unajickiaje kabisa kumvua shemeji yako nguo, kweli unacmamisha? nasemaga kuna dharau lakini hii ya leo nitaiota, yewooomiii apa womi.
 
Nimekumbuka kuna mdada mmoja alikuwa ananiambia siku akiolewa ataruhusu mdogo wake aje kukaa kwa mume wake kwasabu hata mdogo wake amuamini akawa anasema ni bora amaruhus strange kutoka nje aje kukaa kwao kuliko mdogo wake nikasema duh si mchezo mpaka mtu amefikia hatua ya kusema hivyo lazima kuna jambo somewhere

Huyo dada ana akili sana. Hakuna haja ya ku-take vitu for granted wakati mifano hai imezagaa kila mahali.

Kwa ndugu zangu wanawake....acha kabisa mchezo wa kuendekeza kukaa na ndugu zenu mbele ya waume zenu. Ni majaribu makubwa sana. Mimi nilikaa na shemeji yangu (5yrs ago) ila namshkuru Mungu sikuwahi kumtamani. Ila kuna vitu alikuwa anafanya hadi na shangaa. Yaani zaidi ya mara moja alikuwa anapita sebureni na night dress ambayo ni transparent hadi unaona kila kitu. Anyway, mawazo yangu hayakuwa huko ingawa ilikuwa ni jambo la hatari endapo siku moja shetani angetembelea hapo home.
 
jamani kuweni na ubinadamu kidogo, ina maana nyie hamuwezi waleta wadogo/kaka zenu nyumbani na mie nikawaheshimu kama shemeji zangu, kwanini mdogo wangu ageuke mtego?

hapo sasa!!! damn you men wenye tabia za kutamani shemeji zenu,housegals etc.:mad2:
 
hivi mwanaume unajickiaje kabisa kumvua shemeji yako nguo, kweli unacmamisha? nasemaga kuna dharau lakini hii ya leo nitaiota, yewooomiii apa womi.

Huwa anavua mwenyewe aisee.....
Normally mambo huwa anayaanza mdogo wako mwenyewe...sasa sababu mwili ni dhaifu...
 
Kweli mwanaume unamtamani mdogo wa mkeo????

FL1, mwanaume kwanza unamtamani mwanamke halafu ndo akili inakuja baadaye kukutahadhalisha kuwa huyo ni ndugu yako. Ikichelewa kuja au ikakwamishwa mahali na kisababu chochote ndo vituko kama vile tunavyosikia kila siku vya ndugu kufanya mambo ya ajabu. Kuna mtu wa heshima sana aliwahi kusema kuwa biolojia ya mwanamume haina ndugu (iwe ni mama, dada, shemeji n.k) ila akili na busara ndio vinakusaidia kuitawala katika mazingira fulani fulani ili usifanye mambo ya ajabu.

hivi mwanaume unajickiaje kabisa kumvua shemeji yako nguo, kweli unacmamisha? nasemaga kuna dharau lakini hii ya leo nitaiota, yewooomiii apa womi.

Sana tena na havina uhusiano na undugu wetu. Hilo linakuja baadaye kama akili ikinirudia kama nilivyosema hapo juu. Ndo maana mwanamke anatakiwa kutojiacha na kukaa hovyo hata mbele ya watoto wake mwenyewe!
 
Huyo dada ana akili sana. Hakuna haja ya ku-take vitu for granted wakati mifano hai imezagaa kila mahali.

Kwa ndugu zangu wanawake....acha kabisa mchezo wa kuendekeza kukaa na ndugu zenu mbele ya waume zenu. Ni majaribu makubwa sana. Mimi nilikaa na shemeji yangu (5yrs ago) ila namshkuru Mungu sikuwahi kumtamani. Ila kuna vitu alikuwa anafanya hadi na shangaa. Yaani zaidi ya mara moja alikuwa anapita sebureni na night dress ambayo ni transparent hadi unaona kila kitu. Anyway, mawazo yangu hayakuwa huko ingawa ilikuwa ni jambo la hatari endapo siku moja shetani angetembelea hapo home.

Kaka hiki unachoongea ni ukweli mtupu tena anakatiza na night dress bila wasiwasi sasa yule mdudu akianza kukutembelea kichwani ndio hayo sasa yanatokea tunayoyaongelea hapa sasa hivi
 
Pole FL1 kwa yote yalokusibu. Huyo ma' mdogo atimuliwe, halafu peleka shauri kwa wazazi wa mmeo.
Maumivu ya moyo hayaishi, cha msingi jaribu kuyasahau kwa kuji-keep busy na shughuli zako. Usijaribu kumkomoa mmeo kwa kutafuta mwanaume mwingine!
 
hivi mwanaume unajickiaje kabisa kumvua shemeji yako nguo, kweli unacmamisha? nasemaga kuna dharau lakini hii ya leo nitaiota, yewooomiii apa womi.

Nyamayao at that time unafikiri kuna mtu anawaza hayo watu wanakuwa wanawaza kupeana raha duniani baada ya hapo kila mtu ndio anaanza kurealise kumbe huyu ni ndugu yangu, kumbe huyu ni mdogo wa mke wangu mara ohooo shetani alinipitia sasa sijui huyo shetani ni wa aina gani acha vitu vingine unabakia mdomo wazi sasa sijui na wale wanaofanya mapenzi na baba zao au mama zao wanakuwa wanajisikiaje wanapokuwa wanawavua watoto nguo zao nguo kufanya nao mapenzi
 
kwakweli wakina mama kuna parameters ambazo technically huwa hamuziangalii IN THREE DIMENSIONS......!

unamletea mtu ''mboga'' nyumbani,tena kwenye kipindi ambacho ''una mtoto mmoja tayari...''

ndo maana mi huwa nadiskareji sana hii HOUSEGIRL MATERIAL na upuuzi wake wote...!lakini wake zetu hawaelewi!

unajua ''INFIDELITY'' is NATURALLY THERE!....
IT IS THERE TO STAY!....ukiijengea mazingira tu,kwishnehi

Naiona point hapa hata mimi nilikataa biashara ya house girl kwani tuliajiri mmoja akawa anaanza kunifanyia vituko nikaona hapa ipo siku nitajisahau nikampa taarifa mke wangu achunguze jinsi house girl wako anavyonifanyia asubuhi au nikirudi kazini maana akiniona sitting atataka akae hapo hadi nitakapoenda kulala na mara nyingi mke akiwa yupo chumbani akija mke wangu anatimua anaenda chumbani nashukuru kuwa alikuja juwa vitimbi vyake akamtimua nikapiga marufuku sitaki h.girl ndani
 
Back
Top Bottom