My god win
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 361
- 239
Mwenye kujua paphumu ça kiarabu zinazo Nukia vizuri. Za bei rahisi kuanza 10,000 kushuka Chine. Naomba anisaidie n'a akiweka n'a picha itanisaidia .asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulsum !Hizo za kiarabu zipoje ,au ndo za ........ malizia
unataka kunukia kwa buku ten?hahaha jipangeMwenye kujua paphumu ça kiarabu zinazo Nukia vizuri. Za bei rahisi kuanza 10,000 kushuka Chine. Naomba anisaidie n'a akiweka n'a picha itanisaidia .asanteni
HahhahahahaMaitiii
AsanteKatafute moja inaitwa mariamu ina harufu nzuri
Asantebuku saba mpaka nane Inaitwa Nasaem ni makini kabisa mimi ndio ninayotumia
AsantePia ipo hii misk inaanzia 2500 na zaidi, zipo za ladha tofauti tofauti ila hii nyeupe ni makini kuliko nyekundu na blue
Raghba ila huwezi kuipata chini ya elfu 20..mzuri sana.Mwenye kujua paphumu ça kiarabu zinazo Nukia vizuri. Za bei rahisi kuanza 10,000 kushuka Chine. Naomba anisaidie n'a akiweka n'a picha itanisaidia .asanteni