Padri na Sister

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Padri na Sister walisafiri usiku ukawakuta njiani! Wakatafuta Guest wakakuta Guest zote zimejaa lakini walikuja kufanikiwa chumba kimoja tu, Padri katika kulala akaweka mto katikati wakalala, Asubuhi mlinzi alichelewa kufungua geti Padri akamwambia Sister turuke ukuta, Sister akamwambia Padri kama ulishindwa kuruka Mto usiku je utaweza kuruka Ukuta?
 
Majibu ya sista ni kiboko na yanafichua siri za usiku. Kumbe padri alitii amri ya sita! Yaelekea sista alitarajia padri afanye 'utundu' kidogo usiku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom