Padri na Sheikhe.

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,026
[h=6]Padri na Shekhe walikutana kwenye ndege, Padri akamkaribisha Sheikh kitimoto, Sheikh akasema: hatuli. Padri akasema: mnakosa utamu!.
Wakati wa kushuka, Sheikh akamwambia Padri: nisalimie mkeo.
Padri akajibu: ss hatuoi.
Sheikh akasema mnakosa utamu!.
Jee! Kati ya Padri na Sheikh, nani anakosa utamu?
[/h]
 
Kwa xperience niliyonayo juu ya hivyo vitu viwili, naona Padri imekula kwake.
 
Back
Top Bottom