Padri kachoka kusalisha

dr luv

Member
Dec 19, 2011
23
12
Padri alichoka kusalisha akaamua kujirekodi kwenye kanda ili kila ikifika mda wa sala anasimama na kufungulia redio. Siku 1 akaisahau ile kanda nyumbani akamtuma mtumishi wake akaichukue kumbd kaend kuchukua kanda ya taarabu, mara ikaanza "alamba alamba tena" waumini wote wakaitikia "aaaam aaaam"
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom