padre na waumini

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,570
187
Padre kauliza Waumini,
PADRE: Ni kiungo gani cha mwili hupatikana katika sehemu iliyofichama,
kina wingi wa unyevunyevu, kinaweza kufanya ndoa iwe imara sana au kuyumba?
WAUMINI: Kimya huku wameinamisha vichwa vyao chini,
PADRE: Inukeni niwaonyeshe, ni hiki akagusa ULIMI,
Wana JF Mlifikiri ni nini?
 
Back
Top Bottom