kwa sababu yeye haishi tanzania hana haki ya kusemea maovu ya ccm,hivi hawa viongozi wa dini,maisha magumu hayawahusu wao??shida yetu hatupendi kusikia ukweli.maisha ya sasa huwezi kuyalinganisha na kipindi cha mkapa.mie naona anahaki ya kusema kilichopo,ccm imeshindwa.labda kama kunasheria inayoeleza viongozi wa dini hawaruhusiwi kusema chochote kuhusu matatizo ya wananchi au kumsema hadhalani anayesababisha.
padri,mchungaji,shehe,wote wanahaki ya kusema kuhusu mienendo mibaya ya serikali maana hata wao yanawahusu,wale ni watanzania kama wewe.
padri,mchungaji,shehe,wote wanahaki ya kusema kuhusu mienendo mibaya ya serikali maana hata wao yanawahusu,wale ni watanzania kama wewe.