Eve packed products

Sep 24, 2016
18
1
Kutoka mbeya sisi ni wasambazaji wa bidhaa mbalimbali kama:
  • mchele halisi wa kyela na kamsamba kuanzia kg2, kg5, kg 10 na kg20
  • maharage kuanzia kg2, kg5, kg 10 na kg20
  • unga wa sembe na dona kuanzia kg2, kg5, kg 10 na kg20
  • ngano kuanzia kg2, kg5, kg 10 na kg20
  • mahindi kuanzia kg2, kg5, kg 10 na kg20
MAWASILIANO 0763023661, 0753491777 NA 0717486207
 
Ni vema waweka matangazo ya biashara zenu muwe mnaweja nabei msiogope kwani kila mwenye kutaka kununua lazma atataka bei na si laxima apige kwanza simu ndio ajue, kuna wengine wengi tuu ambao huvutiwa na bei kwanza then ndio aje apige simu kuuliza kwa maelezo zaidi, hamjui tuu jinsi mnavyokosa idadi kubwa ya watu kwa kungijea mpaka mpigiwe simu.hamjiamini na biashara zenu?
 
mchele @1kg = 2000
maharage @ 1kg = 1500
unga @1kg = 1200
karanga @1kg = 2500
ufuta @ 1kg 4000
 
Back
Top Bottom