P.W.Botha nakumbuka maneno yako

That is how we are. Ukubali usikubali. There is nothing valuable we can do, there is nothing we can change. Angalia kinachoendelea nchini watu wanalialia tu. Sukari inapanda kiholela viongozi wetu wakuu wanakuja na matamko, matamko yao hayatekelezwi. What kind of research do you need to prove our failure? We are the most failure specie on this planet. Hata tufanyeje, bila kubadili mindset zetu tutaendelea kubaki hivyo tu.
Nimekukubali mzee wewe ni Noma kuna watu wanajifanya vipofu Tuanzie hapa kwetu Matumaini yetu yako wapi????
 
Dhambi kubwa ambayo tumekuwa tukiendelea kuitenda sisi watu wenye ngozi nyeusi, ni kukubaliana na baadhi ya dhana potofu. Sio kila nchi ya Afrika ambayo siasa zake huchangia katika kujenga ile mitazamo ya watu kuona kuwa vita ni afadhali kuliko amani. Kwa taarifa yako mleta mada hii nchi iliwekwa chini ya ulinzi wa Mungu siku moja kabla ya bendera kupandishwa pale uwanja wa uhuru mwaka 1961.

Kuwa mtu wa harakati za kisiasa wala kusimfanye mleta mada akawa nabii wa vita na uhasama. Mazingira ya mifumo ya utawala na uwezekano wa nchi kutotawalika kwa sababu ya ubinafsi wa wanasiasa kwa nchi yetu ni tofauti na yale ya Kenya, ni tofauti na yale ya Nigeria, ni tofauti na yale ya Mali au Senegal.

Binadamu wanatofautiana kwenye suala la rangi ya ngozi lakini mambo yanayofanywa kutokana na msukumo wa nafsi ni yale yale duniani kote.
 
Ulisema:".....African's can not rule themseleves.Give them guns and they will kill each other.They are good in nothing else but makingi noise, dancing,marrying many wives and indulging in sex....."

Haya ni maneno yanayodaiwa kutolewa na Botha mwaka 1985.
Wewe umefanya lipi?
 
huo ndio ukweli na unauma. Unadhan sisi waafrika tunapendana. Tukubali ukweli na tubadilike ndio njia pekee ya kujikomboa. Hali yetu miafrika kiuchum kijamii na kisiasa ni mbaya Sana na cha kuhuzunisha inaintesify na kurithiana inaniuma hadi jamii ya Roma Gypsies wanatudharau

Ukweli ni kuwa hakuna anayempenda mwaafrika kuliko mwafrika mwenzie. Hao Gypsies wanawadharau waafrika kwa vile nao hubaguliwa kwa hiyo wanamtafuta mnyonge. Wanashangaa kwa nini weusi waliopo Ulaya hawana maisha duni kama ya kwao
 
mkuu ila ni kwel kabisa huwez ukamkuta mwafrika ulaya kakaa pembezon mwa barabara akiomba omba kama hawa gypsies. Nilishamtokea kabint ka Roma Gypsies kutoka katona Bulgaria 18years old ilikuwa 2012 nilimpa krone 30 yan alinipenda tukazoeana kiingereza alikuwa anafaham. Akanisimulia wanavyoish kuhama hama kabla ya kuja Copenhagen walikuwa uingereza ufaransa ujeruman kuomba omba. Alinichekesha aliponiambia just imagine all these people passing here could drop 10 krone each kila mara nilipopita hapo namuachia hela na kusema my African man u r so kind. Baada ya wiki moja kujuana sikumuona tena nilikuwa narandaranda ovyo ovyo kumtafuta hadi Leo. She was so pretty with long black hair.
 
Ukweli ni kuwa hakuna anayempenda mwaafrika kuliko mwafrika mwenzie. Hao Gypsies wanawadharau waafrika kwa vile nao hubaguliwa kwa hiyo wanamtafuta mnyonge. Wanashangaa kwa nini weusi waliopo Ulaya hawana maisha duni kama ya kwao
je unaish ulaya?
 
Kwahiyo kwasababu Botha amesema tayari hiyo kauli inakuwa ukweli?
The speech below made on Agust 1985

” We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the blacks
that we are superior people. We have demonstrated that to the blacks in 1001 ways. The Republic of South Africa that
we know of today has not been created by wishful thinking.
We have created it at the expenses of intelligence, sweat and
blood……We do not pretend like other whites that we like the
blacks, the fact that blacks look like human beings and act like
human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles because they look alike. If God had wanted us to be equal to the blacks, he would have created us all of a uniform colour and intellect. But he created us differently: Whites, Blacks, Yellow, Rulers
and the ruled. Intellectually,we are superior to the Blacks; that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that the Afrikaner is honest, God fearing
person, who has demonstrated practically the right way of being. By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good
in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Blackman is a symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn’t it plausible? Therefore that the Whiteman is created to rule the Blackman……And here is a creature (Blackman) that lacks
foresight….. The average Black does not plan his life beyond
a year”.

NI ZAIDI YA MIAKA 30 IMEPITA SASA, JE YALIYOSEMWA HUMO HAYANA UKWELI KAMA UNAVYODAI? WALE WA SAUZ AFRIKA HAWAKUWAUA WEUSI WENZAO JUZI HAPA KWA KISINGIZIO CHA KWAMBA ETI WANACHUKULIWA AJIRA ZAO?

ALAFU PIA VILE VILE SAUTH AFRIKA ALIWAHI KUWA MEMBER WA G20 KIPINDI CHA NYUMA, UNAWEZA KUTWAMBIA NI KWANINI TANGU WAPATE UHURU NA KUANZA KUONGOZWA NA MARAISI WEUSI WAMEPOTEA GHAFLA KWENYE G20 NA HATA KUZIDIWA KIUCHUMI NA NCHI ZA AFRIKA KAMA NIGERIA?

Jane Lowassa
Hayo maneno ni ya kweli kabisa
Mkuu taaratibu ngoja tunyooshane na hawa weusi wanaokataa huu ukwelii, lakini wakisifiwa hata kama ni sifa za huongo wataona ni sahihi.
 
je unaish ulaya?

Hapana. Lakini nimetembea ba kuishi nchi nyingi. Kuna sehemu ukimwona Mwafrika ni bahati. Hata hivyo utaona mtu wa kwanza kukusalimia na kutaka kukufahamu ni Mwafrika. mkiwa waafrika wachache basi mnakuwa ndugu haijalishi nchi mnazotoka
 
Acha kukurupuka bibie, nani alikwambia uzi huu unahusu sukari!? Kama huelewi uwe unauliza badala ya kukurupuka.

Sukari imepanda kwasababu ya forces za demand and supply, siyo kwasababu viongozi wanatoa matamko halafu hayatekelezeki.
 
Ilibidi nikueleze kinachoendelea Ukraine kwa ajili ya kuprove kuwa theory yako ni ya uongo
Hakua theory hapa... waliisha maliza kina Pythagoras na wengine... hapa ni ukweli... hoja mezani ni Botha juu wa waafrika kuto weza jitawala... we unaleta mambo ya Ukraine... hata picha huoni tu mkuu kama kusoma ni shida???
 
Hapana. Lakini nimetembea ba kuishi nchi nyingi. Kuna sehemu ukimwona Mwafrika ni bahati. Hata hivyo utaona mtu wa kwanza kukusalimia na kutaka kukufahamu ni Mwafrika. mkiwa waafrika wachache basi mnakuwa ndugu haijalishi nchi mnazotoka
Same na wachina wakikutana Mwanalumango..... same na wajapan wakikutana katavi.... fikiri nje ya boxi mkuu... kuishi nchi nyingi hakujakunufaisha kifikra naona....
 
Hakua theory hapa... waliisha maliza kina Pythagoras na wengine... hapa ni ukweli... hoja mezani ni Botha juu wa waafrika kuto weza jitawala... we unaleta mambo ya Ukraine... hata picha huoni tu mkuu kama kusoma ni shida???

Pythagoras was a great scientist in his days but so many important ones followed after him. And many more will come.

If you say all swans are white it takes the siting of any non- white swan to prove that the theory is wrong.
 
Ulisema:".....African's can not rule themseleves.Give them guns and they will kill each other.They are good in nothing else but makingi noise, dancing,marrying many wives and indulging in sex....."

Haya ni maneno yanayodaiwa kutolewa na Botha mwaka 1985.
Makingi = making
 
Back
Top Bottom