P-funky,ritta paulsen,master j-mafisadi papa wa muziki

May 4, 2009
34
1
Ndugu watanzania nafikiri kuna baadhi tu wanaoona hii starehe ya riitta paulsen ya bongo search kupiitia itv.tulijua wao ndio watakuwa wa kwanza kuelimisha jamii lakini inasikitisha sana kuona mtu mzima kama dada ritta akimwangukia ama kumwegemea MASTER J mbele ya watoto..hiii ni aibu sana
lingine ni kitendo cha huyu anejiita PFUNKY nahisi ritta kama anataka watu wamheshimu amwondoe kabisa huyu takataka....huyu mtu akiwa kibgoma jamani nilipata nafasi ya kumwona akiwatoa nishai waimbaji kwa kuwatukana hadharani...kama

unafanya kazi gani//...shoshine we nenda na shoshineyako katafutie maisha huko

kibaya zaidi alimuuliza dada mmoja ulijiandaa kwei wakati unakuja ..akajibu ndio...akamjibu mi nakushauri nenda tu ukatafute watoto

huu nii upuuzi ambao hautakiwi kuvumilia hawa ndio wanaotakiwa kuonyesha mfano kwa jamiiii.......wewe pfunky wanawake wangapi wenye ukimwi uliotembea nao....acha dharau kunguru weye maisha hayaendi hivyo wae mnaowaona hawako pale kwa ajili ya njaaa unavyoiona wewe

pnchot mkubwa

Mi nashauri ITV waachane kabisa na hawa takataka
 
mkiwa mnalaliana laliana mbele huko mikoani mjue itv wanakuja kuonyesha uchafu wenu kama ilivyo...acheni ujinga kuweni serious na kazi iliowapeleka huko....
 
tehe tehe unajua wabongo hovyo saana.......kale ka lesbo salama nako kalukuwa kanakera sana....ufupi pfunky hajui muziki angalia comments aanzotoa mtu kama John kitime za akili na unajua kuwa huyu anajua muziki na comments zake za kusaidia kukuza muziki....
 
Kwakweli juzi nilistukia naangalia huo uchafu wa kina P-funky nikashngaa sana hivi kweli hawa jamaa wako nchi hiihii! Yaani ni uchafu mtupu, nadhani ITV kweli waachane na kuweka watu ambao kwanza sio wataalamu katika fani kama hiyo ya kutafuta vipaji vya uimbaji
 
mi najiuliza sana kuhusu huyu pfunky..i tyhink is a most stupid men for this yr
haiwezekani mtoto mdogo kama yule dada wa jana anaimba anamaliza
unamtusi.F***** DE DROGBA..UPUUUZI MTUPU SERIKALI TUNAOMBA INGILEINI KATI KUHUSU HUU UZALILISHAJI WA KIJINSIA KIBAYA ZAIDI TUNAWAZALILISHA WATOTO WADOGO KABISA......HAWANA MAANA KABISA....
MFANO MWINGINE NI YULE MAMA ALIVYOKUWEA ANAJILAZA LAZA KWA MASTER J WATOTO WANAOANGALIA WANAFUNDISHWA NINI ???????????????
KAMA WALIZOEA KULALIANA KWENYE MABASI WAKIWA SAFARINI TUNAOMBA WAWE NA HESHIMU...ITV NI TELEVISION YA HESHIMA SI TELEVISION YA MAPENZI.......

FNYANGUMI
 
Back
Top Bottom