P Funky amtishia bastola afande Sele

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
p-funky.JPG


ROHO ya Stadi wa Muziki wa Bongo Flava, Suleiman Msindi a.k.a Afande Sele nusu itolewe kwa bastola, aliyokaribia kupigwa na Prodyuza, Paul Matthysse ‘P Funky'.

The Biggest IQ Paper, Ijumaa Wikienda lina tukio kamili kama lilivyonasa data kamili.Rafiki wa Afande Sele (jina linahifadhiwa), alisema kuwa tukio zima lilichukua nafasi Ijumaa iliyopita katika Studio za Bongo Records, Bamaga, Mwenge, Dar es Salaam.

Alisema, Afande alifika katika studio hizo baada ya kuweka ‘apointimeti' maalum ya kwenda kuchukua singo yake mpya aliyorekodi kwa P Funky a.k.a Majani ‘Kinywele Kimoja' siku chache kabla ya tukio.

Majani anakiri kumchapa kibao Afande lakini anakanusha kumtolea bastola kama alivyodai Sele na kunukuliwa katika media, Hapa anaelezea kisa kizima na sababu zilizomfanya amuadabishe mfalme huyo wa Rhymes wa Bongo.

Video hii hapa chini inamuonyesha P Funky ambaye ameamua kuvunja ukimya na kueleza tukio zima lilivyokuwa...



Huyu P Funky amedata kuliko kudata kwenye.....au nguvu ya "jani" ndiyo inampa kichwa??
 
Last edited by a moderator:
I would get surprised if it were the other type of people anyway!...Kwa hawa Bongo-Made musicians wanaona kama vile ni sifa kufanya ujinga huo!...Wameacha lini kuiga mambo ya akina tupac hawa?
 
hawa wote ni wavuta bange, wacha wafanye bange zinavyowatuma.
pia ni nani alimpa p funk kibali cha kumiliki silaha wakati inajulikana wazi ni mtumiaji aliyekithiri wa mihadarati?
 
Japo wote wana matatizo P> Funk is worse. Anatishia watu wengi na bastola sio huyo Afande pekee na ndio maana hata studio yake watu wameikacha sku hizi inafulia
 
These clowns can't cease to amaze me.. kwanza wanalazimisha vipaji yaani basi tu karaha mojakwamoja.
 
I am not SUPRISED AT ALL, PURUKUSHANI ZA P FUNK MUULIZE KAJALA ANAZIJUA VIZURI
 
hawa wote ni wavuta bange, wacha wafanye bange zinavyowatuma.
pia ni nani alimpa p funk kibali cha kumiliki silaha wakati inajulikana wazi ni mtumiaji aliyekithiri wa mihadarati?
...aliyempa kibali ni jeshi la polisi la Tanzania ambalo mkuu wake ni Said mwema ambaye aliteuliwa na JK Mrisho. umeona chain hiyo eeh?!!1
 
Japo wote wana matatizo P> Funk is worse. Anatishia watu wengi na bastola sio huyo Afande pekee na ndio maana hata studio yake watu wameikacha sku hizi inafulia
Sasa mtumia mihadarati kama huyu anamiliki bastola hivi kweli Bongo haina mwenyewe wengi wanaomiliki bastola hawastaili hata kupewa..
 
Back
Top Bottom