Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,345
Pfunk anaweza vaa saa inayozidi thamani ya gari lake anayotembelea kweli? Saa mil 15?
Maisha ya kuvunja record tu yaani inawezekana kabisa!!!
Pfunk anaweza vaa saa inayozidi thamani ya gari lake anayotembelea kweli? Saa mil 15?
Rolex ya $ 9250. ni kawaida sana kwa aina za hizo saa! naweza kusema is among the cheapest Rolex zilizopo madukani!
Haaaa mbona expensive,mie yangu kama ile nilinunua buku 5 kariakoo.
Ccm chama cha mapinduzi ,chama dume,dume la mbegu kama noma na iwe noma hamtuwezi!
Ccm chama cha mapinduzi ,chama dume,dume la mbegu kama noma na iwe noma hamtuwezi!
Ina memory card? Inaonesha siku ya kuded au?Anyways..ni yeye uyo! Teh siku akided(joke),wanakamati wataichakachua ..Heheheeh bytheway wengine saa aint a big dil,mchinex wangu wa tochi,aaakha kwa rah zangu na saa..teh
Kama hujui unachoongea kaa kimya!heshima ya rolex katika uengenezaji wa saa waulize wavaaji!usilete ujuaji wa vitu pasipo uwezo wa kuvinunua!!rolex ni kama unazungumzia mercedes benz katika mambo ya magari!Rolex nayo ni saa ya kutambia? Akivaa Audemars Piguet si ndo itakuwa balaa
[h=3][/h]
Rolex nayo ni saa ya kutambia? Akivaa Audemars Piguet si ndo itakuwa balaa
[h=3][/h]
Yako saa au shwaa?hayo mafamba ya kina robby one buku 5 hupati labda ya katika maboya kwa wamachinga ambayo si ya madesigner wakali!vijana wengi wamesstukia saa ndo huleta tofauti ya wakali na maboya!ntakutupia kitu kimoja mdogo wangu!mimi sina rolex ila natamba na police,BVLGARi na fossil za kibishi
hivi kwa mfano ikiwa uproducer unalipa au haulipi wewe ulikuwa unatakaje fungua studio ndo utapata jibu..acha kufatilia maisha ya wa2 bhana wewe mtoto wa kiume kwani hatakama ana sifa wewe zna kuathiri nini.........tafuta v2 vya kuandikaAkichezesha taya na presenta wa nivarna,producer maarufu Pfunk alisema saa yake ina thamani ya pesa hyo,Uproducer unalipa au misifa tu!
Kama hujui unachoongea kaa kimya!heshima ya rolex katika uengenezaji wa saa waulize wavaaji!usilete ujuaji wa vitu pasipo uwezo wa kuvinunua!!rolex ni kama unazungumzia mercedes benz katika mambo ya magari!
Na Swiss Swatch utaifananisha na gari gani!!??....Kama hujui unachoongea kaa kimya!heshima ya rolex katika uengenezaji wa saa waulize wavaaji!usilete ujuaji wa vitu pasipo uwezo wa kuvinunua!!rolex ni kama unazungumzia mercedes benz katika mambo ya magari!