P DIDY wa Maimatha afariki dunia

This is a clear message to everyone. Kuna wengine walidhihaki mkuu wa nchi alivyoanguka. Nadhani km ni funzo soote tumeliona.
RIP
 
This is a clear message to everyone. Kuna wengine walidhihaki mkuu wa nchi alivyoanguka. Nadhani km ni funzo soote tumeliona.
RIP

Mkuu nadhani hapo nilipoweka wino mwekundu hapamuhusu marehemu

Rip P Diddy
 
S7301793.JPG


R.I.P Kagisa
 
nimeliona tukio hili majira ya mchana pale barabara ya lumumba opp na uwanja wa kidondo chekundu do poleni sana wafiwa
hii ni njia ya wote ila hakuna ajuaye muda
 
pdidi.jpg


meneja wa bendi ya diamond musica international, perfect kagisa aka 'p diddy wa maimartha' amefariki dunia mara baada ya kuanguka gafla maeneo ya mnazi mmoja leo hii.
Hivi sasa mwili wa marehemu uko hospitali ya muhimbili kwa taaratibu zaidi za kimazishi kwa mujibu wa mtangazaji wa tbc1 tv benny kinyaiya.

R.i.p bro...

ndugu polen sana;yawezekana huyu akuwa amejitwika mzigo ...jk walimwahi akalikwepa haya mambo ya kuangushana jamani mpaka lini??mbona hivyo watanzania ama afya zetu tata
 
s7301793.jpg


r.i.p kagisa

amemkosa kweli inaonekana kidume alitumika vizuri dunian jamani wenye info kaacha watoto wangapi
wajane atuitaji amchelewi kujitwika wengine ujane usio wenu maana sikuhzi dili
 
May you rest in peace Pdidy. pole sana Maimartha, Diamond Musica na familia kwa ujumla!
 
Back
Top Bottom