P.Diddy Gives Justin Bieber a LAMBO......

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,719
107,833

Show more Photos

Diddy gives Justin Bieber £130k Lamborghini

Shortly after coming under fire for buying his 16-year-old son a £245,000 Maybach, music mogul Sean 'Diddy' Combs has done it again. This time by donating his £130,000 Lamborghini Gallardo to teen singing sensation Justin Bieber.
Beiber, 16, passed his driving test only three months ago. Diddy, a close friend of Beiber's, promised him the Lamborghini when he turned 16 and, despite Beiber's doubts, he came up with the goods.
The singer was spotted taking his new white Lamborghini for a spin in Los Angeles, with 20-year-old rapper friend Sean Kingston on board.
Beiber is also good friends with fellow R&B artist Usher, who bought him a Range Rover on his 16th birthday on March 1.
His birthday party included paintball, laser tag and sumo wrestling, but participants were asked to sign a disclaimer beforehand in case of injury during the activities

KWELI MWENYE NACHO HUONGEZEWA..
....
 
Anataka kumchukua kwenye Lebo yake hakuna kingine. Hiyo ni give and take strategically
 
Diddy si mjinga ni sawa na wale wanaochangia CCM mamillion sio kwa mapenzi yao bali wanajua watapata fweza zaidi ya hizo
 
Nyie mnaosema ana lake jambo mnazingatia nini? Kama Diddy ana mpango naye kwenye lebo yake, na Usher aliyempa RR ana mpango wa kuliwa tigo? Acheni hizo, hawa jama wana vipato vikubwa saana, kwa hiyo zawadi ya mil500 kwao fea tu wala haiumi, wewe unafkiri dogo mwenyewe hana uwezo wa kununua hiyo LAMBO au RR ?
 
Naivette kama hii ni ya ajabu!
 
hivi watu wengine huwa hamtoi ZAWADI......bila malipo,kila mtu anatoa kulingana na uwezo wake.............
 
Back
Top Bottom