"Oyaa, unabisha, nitakutungia sredi JF mimi.." Je, ulishawahi?!

watakuwa mafisadi tu hao marafiki zako,mie sioni why ninywee mtu akinitishia hivyo......

duuh, hili bonge la point mkuu, lakini vilevile ni dongo... tena lile linalokaribia kukauka kwa jua!! lol
 
Nimekupata kabisa Mkuu Criss!

Unajua hii inatumika kama silaha kwa wale tuliojuana nao humu humu ndani, na wale tunaojuana nao tangu zamani ila wanajua presence yetu nasi twajua yao na nickname zao... As much as nawalima kwa fito hii, hata hivyo sijawahi na sidhani kama nitakuja kufanya hivyo... it's all about being the winner in a convo! lol


Nimekusoma mkuu Steve Dii
 
hahaha!huwa ninaitumia sana hii na wale ninaowaambia nao huwa wananitishia the same,,,

he he he he wifi mi uliniweza,si umeona zile post za kimapenzi nimeacha?l.o.l:A S-rose:
Steve Dii....umenipa namna ya kuwatishia watu.....!!!
 
he he he he wifi mi uliniweza,si umeona zile post za kimapenzi nimeacha?l.o.l:A S-rose:
Steve Dii....umenipa namna ya kuwatishia watu.....!!!

hahaha my wiii bana nimekumiss ujue?ukweli hii sred imenichekesha nikajua kumbe huwa tuko wengi.... :hug:
 
Back
Top Bottom