Oya tcu mmekuaje?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
jaman,hawa tcu vpi?yani nashangaa muda wakufanya application na marekebisho mengine umeisha lakin cha kushangaza baadhi ya kozi watu wameongezeka.mfano bcom finance ya udsm hadi jana watu waliokua wameandka 1st choice walikua 120 ila leo wamekua 123,waliokua eligible kwenye agro-economics ya sua walikua 28xx leo wamekua 31xx na nyingine nying tu.sasa nauliza hivi hawa jamaa wanaongeza watu wao kimya kimya ili sisi watoto wa wakulima tukose vyuo vizuri au?
 
hiyo hatamimi nimeona inawezekana system bado ilikuwa na matatizo na pia kuna wengine program zao bao zilikuwa zimeandikiwa not eligible..baada ya kuwa eligible ndo hivyo zimeongezeka
 
Back
Top Bottom