Outlook. Connected to microsoft exchange

mabina

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
216
26
Hi all.

Jamani wanaJF wenzangu naomba msaada/ elimu kuhusu kfanya changes ya outlook.

Officin kwetu wamenunua kampuni jngne ambalo llikuwa linatumia DOMAIN tofauti na yakwetu (eg mabina@uhuruone.net) sasa wanataka tuwaweke kwenye network yetu na waendelee kpokea na ktuma email zao. Je ni fanyeje ili waweze ktuma hizo imail?


MSAAAAAAAAADAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111
 
Fungua outlook'nenda kwenye file kuna changes unaweza kufanya kama kuchange password na username
 
Kwani shule ulikuwa unafanya nini?

Kuandika notes ni tofauti na kuelewa!!!!!!!!!!!!!!!!!! nilikuwa naandika notes.


Toa msaada kama unania otherwise acha hlazmishwi na mtu, au ndo gia yaktangaza na wewe unaweza kuandika au ndo umejsajili leo? Tmeshakuona karibu hapa ni for GREATER THINKERS, if ur empty mind nenda ze UTAMU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuandika notes ni tofauti na kuelewa!!!!!!!!!!!!!!!!!! nilikuwa naandika notes.


Toa msaada kama unania otherwise acha hlazmishwi na mtu, au ndo gia yaktangaza na wewe unaweza kuandika au ndo umejsajili leo? Tmeshakuona karibu hapa ni for GREATER THINKERS, if ur empty mind nenda ze UTAMU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unaonekana hiyo kazi ulipewa kwa mlango wa nyuma,kama ulipewa kwa kuwa na sifa basi ungekuwa umeshaenda google(a million of tutorials to do anything) haya changanya mbalinga hizo uende google faster! wacha uvivu
 
kwa haraka haraka inaonekana wanaweza kupokea e-mails ila wao hawawezi ku2ma kama ni ishu hiyo kuna ki2 kinaitwa smtp authentication unaweza kuwasaidia kufanya some configurations kama server yao iko hosted locally kama ni ISP ndo anafanya kuhost emails zao then chek na ISP aweze kuwasaidia au kuallow hiyo network yenu./au wafanye wawe ni part ya hiyo kampuni ingine wataonekana .. otherwise endelea kusubiri wako wataaluma watakusaidia

Pia cheki inawezekana kabisa ukahost domains tofauti kwenye exchange yako na si lazima so kuna some options mbili tatu unaweza zicheki
 
Check kwenye google jinsi ya ku-add sub-domain. Ni kitu kinachowezekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom