Outing kwa wanandoa.

Kwa hiyo ndo kusema wewe unapo enda kuli touch lazima twende wote si ndo hivyo? Na vile vyumba vya kwenye saloon vya ndani kwa ndani vina nini vile maana mzee upo nje unasubiri kumbe njemba inaua njiwa 2 kwa jiwe moja.
hahahaaaaaaa jamani taratibu anayefanya hivi kweli kakubuhu lol!
 
Hivi mkuu umeoa/umeolewa? Mimi nilikuwa natoa 70,000/= kwa wiki kuretouch

Hehehehe! Papaa Fidel mutu ya pesa mingi! Siku hizi umepunguza bajeti? Nakumbuka siku ile ulimpa mchuchu 120,000 za saluni. Hahahaha!
 
hizo nywele zinakuwa retouched every week? aaah huyo anakufunga goli la mkono huyo!

lakini acha tuwaulize wanaotia dawa, hesabu za saloon zinakwendaje?
 
hizi zilikuwa ni intitial costs za kuhakikisha anamnasa mchuchu!wajanja sana play-boys:D
 
hahahaaaaaaa jamani taratibu anayefanya hivi kweli kakubuhu lol!

Tatizo hatuaminiani mimi nakwambia naenda Sinza kuonana na Nguli, Xpin, Masanilo, Geoff wewe unataka twende wote wkt kikao ni cha wanaume tu basi hata wewe unapo enda kwenye kitchen Party uwe unanilazimisha twende wote.
 
tatizo wengine wanasema ooh..mazungumzo ya wanaume tuu. lakini wanakwenda huko na nyumba zao ndogo, tena wakaa nazo hapo hapo mezani..

wengine baa kuanzia J tatu hadi ijumaa eti kubadilishana mawazo, na kuongelea style ambazo wana zi practice na bar maid, wakifika nyumbani hakuna cha style wala nini..

watu akili ku mukichwa kweli kweli..
 
hivi wakuu,
kuhusu SEMENYA na kikao chetu sijui itakuwaje!
kichwa kinauma kweli kweli......!:D

atatumia bunduki gani siku hiyo?
 
Huko kitchen party huko! Lalalalala! Usiombe!
 
hizo nywele zinakuwa retouched every week? aaah huyo anakufunga goli la mkono huyo!

lakini acha tuwaulize wanaotia dawa, hesabu za saloon zinakwendaje?

Yeah ishu hapa ni kwamba kila nako enda lazima twende wote kwa hiyo tunakuwa kumbikumbi
 
tatizo wengine wanasema ooh..mazungumzo ya wanaume tuu. lakini wanakwenda huko na nyumba zao ndogo, tena wakaa nazo hapo hapo mezani..

wengine baa kuanzia J tatu hadi ijumaa eti kubadilishana mawazo, na kuongelea style ambazo wana zi practice na bar maid, wakifika nyumbani hakuna cha style wala nini..

watu akili ku mukichwa kweli kweli..
nilijaribu kuacha kwenda baa kila siku niliishia kuumwa maralia kali!imenibidi niendelee.nafikiria propozo ya shemeji kuhamia kaunta!...:D
 
hivi wakuu,
kuhusu SEMENYA na kikao chetu sijui itakuwaje!
kichwa kinauma kweli kweli......!:D

atatumia bunduki gani siku hiyo?

kikao kipi jamani ?? cha bunge kilichoanza au carmel unataarifa?????
 
Hii thread tunaruhusiwa kwenda off key? Hahahaha! Hilo jukumu tulikubaliana tumwachie mutu ya pesa mingi papaa fidel.
 
wanaume mnapenda kutoka nyie tu ......wake zenu hamuwapi hata ruhusa!
utasikia mtu anamwambia mkewe "i like ur hair natural, baby" kumbe anataka safari za saluni zikatike
 
kikao kipi jamani ?? cha bunge kilichoanza au carmel unataarifa?????
Du mwenzangu, huyu semenya huyu ataleta tabu huyu. sina taarifa na hiki kikao, labda ZD atakuwa na taarifa kutoka kwa switihati wake xpin.
Btw, how are you today? feeling better?
 
Back
Top Bottom