Out of my league!

Huwa tunaangaliwa kuanzia juu hadi chini kama bidhaa za Kariakoo

wanawake wana/tuna mambo!!!!!! most times hizo purukushani zote za kizushi, wengi wao ukipress just a lil bit harder unawapata... maigizo tu.
 
wanawake wana/tuna mambo!!!!!! most times hizo purukushani zote za kizushi, wengi wao ukipress just a lil bit harder unawapata... maigizo tu.

ha ha ha ha ha.....kuna ukweli hapo kwa red
 
Mi nafikiri inategemea na msichana kwa wakati huo anakuwa amepitia mambo gani. Utakuta mtu jana yake katoka kumfumania boyfriend wake,au wiki iliyopita mtu aliyedhani atakuwa mumewe kaoa na yeye alikuwa hana taarifa yoyote na walikuwa wanaendelea na uhusiano kama kawaida. halafu ndio kakaa mahala anapita mwanaume anamtongoza, weweeeeeeee moto lazima uwake. Ila unamkuta msichana yuko katika moods nzuri anacheka na wenzake yupo happy halafu unamtongoza lazima tu atakujibu vizuri
Kwa hiyo ushauri wangu wanaume wawe wanamwangalia mtu kwanza kabla hawajamtokea nahisi sign zote utaziona usoni

Exaclty....
Lakini sasa hawa wenzetu mara nyingi huwa wanaangukia kwenye wale wenye nyuso za.."usinisogelee" sijui inakuwaje hapa...ukute tu wamem-approach binti mwenye furaha, ana moods nzuri, aa wapi!! na wao wanaenda kulekule kwenye "ur out of my league"... maisha haya ya ajabu sana.
 
wanawake wana/tuna mambo!!!!!! most times hizo purukushani zote za kizushi, wengi wao ukipress just a lil bit harder unawapata... maigizo tu.

hahahahah . . . kumbe wengine wanajifanyisha tu kukupima
 
bora uambiwe hayo kuliko demu kujifanya, i miss you 2 kumbe pembeni anatoka na Mr 2.

to me: truth worth whatever cost i have to pay aftermath.

kama hamjaelewa subirini next week natoa singo langu featuring "msela bukta la jeshi"

its me. great thinker, thinking beyond the capacity of them great thinkers.
 
Exaclty....
Lakini sasa hawa wenzetu mara nyingi huwa wanaangukia kwenye wale wenye nyuso za.."usinisogelee" sijui inakuwaje hapa...ukute tu wamem-approach binti mwenye furaha, ana moods nzuri, aa wapi!! na wao wanaenda kulekule kwenye "ur out of my league"... maisha haya ya ajabu sana.

Duuuh :clap2::clap2:
Lakin . . . . unajua kwanini tunafanya hivi??!!
 
bora uambiwe hayo kuliko demu kujifanya, i miss you 2 kumbe pembeni anatoka na Mr 2.

to me: truth worth whatever cost i have to pay aftermath.

kama hamjaelewa subirini next week natoa singo langu featuring "msela bukta la jeshi"

its me. great thinker, thinking beyond the capacity of them great thinkers.

WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

Here you are MAN . . . . :clap2::clap2:
 
bora uambiwe hayo kuliko demu kujifanya, i miss you 2 kumbe pembeni anatoka na Mr 2.

to me: truth worth whatever cost i have to pay aftermath.

kama hamjaelewa subirini next week natoa singo langu featuring "msela bukta la jeshi"

its me. great thinker, thinking beyond the capacity of them great thinkers.

Japo nina beef nawe.....umeongea jambo la msingi sana.....CONGRATS KLORO CONGRATS......
 
Nope, pliz help me know why???

Leney . . .
For serious relationship, most men are not interested with "AM AVAILABLE AND FREE, PLEASE TAKE ME" ladies coz any man can get them, instead they are interested with "DONT TOUCH ME, I'LL HIT YOU FOR SURE, AM NOT JOKING" ladies coz most men fear them

Its very easy for a man to tire you when you are freely available to him without makin him fight unless he's your husband
 
Here you are MAN . . . . :clap2::clap2:

hehe CPU bana, unajua miswahili inapenda kudanganywa (exclude me), sasa wewe mtu ashakuambia hauko league moja na mimi, unataka akufanyie favour gani tena zaidi ya hiyo? hakyanani mimi manzi akiniambia hivyo tunaagana kwa furaha na namgaia na ka hela ka juice.
 
Leney . . .
For serious relationship, most men are not interested with "AM AVAILABLE AND FREE, PLEASE TAKE ME" ladies coz any man can get her

Okay then..... na upande wa pili the ladies are saying...."MTAKA CHA UVUNGUNI.....SHARTI....", so msilalamike basi.

and by the way, its not always the case, utakuta mtu alikusumbua weee kumpata, na bado ndani anakusumbua weee, na pia huyohuyo anaweza akawa anagawa tu....

Pia thinking about that.....kumbe ndo maana wasichana wengine wanalazimika kua hivo...moyoni wanasema..."Eeeh ngoja nijikatazishe, asije niona am available and free"
 
hehehe wenzio wote walioweka bifu na mimi wamekufa maskini. shauri yako lol

Yaani mimi nishakusoma Comrade, yaani nikitaka bifu na wewe najikumbushia hii " . . .WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.""
 
Sipiyu(CPU) uliyosema ni sawa kama tungekua tunaongelea jinsi ya kuchukulia na kudeal na hizo dharau..swala ni kwanini inatokea!Sidhani kama mtu akinisalimia nikaanza kumwangalia juu chini kwa kumbeza au kumjibu vibaya nakuwa nimedhamiria kumchallenge!Hiyo ni dharau tu isiyo na faida hata kwangu..ntaishia tu kuonekana wa ajabu!
 
Okay then..... na upande wa pili the ladies are saying...."MTAKA CHA UVUNGUNI.....SHARTI....", so msilalamike basi.

and by the way, its not always the case, utakuta mtu alikusumbua weee kumpata, na bado ndani anakusumbua weee, na pia huyohuyo anaweza akawa anagawa tu....

Pia thinking about that.....kumbe ndo maana wasichana wengine wanalazimika kua hivo...moyoni wanasema..."Eeeh ngoja nijikatazishe, asije niona am available and free"

Leney unajua kitu chochote aki-pretend mtu (awe mwanaume au mwanamke) anaweza kugundulika hata kwa kumuangalia tu
Sasa ukijikatazisha utaonekana tu hata kwa mwenendo wako tu, kama unajikatazisha kwa mmoja tu halafu kwingine unagawa utagundulika tu, coz hakuna siri ya watu wawili au zaidi yake
 
Back
Top Bottom