Our Zanzibar

Huko Canada mliko mlienda kama Wakimbizi eti Unguja na Pemba wanagombana na hapo mko ndani ya Muungano. Mkipewa hiyo Zanzibar yenu si ndo mtamalizana? Au mnadhani itakuwa ndo njia ya kuwavuta ndugu zenu kwenda Canada kuishi kwa benefit allowance?

Tulikwenda kama wakimbizi miaka ya 64 sasa hivi je? Na nyinyi mulikua wapi kipindi hicho, kipindi hicho mpaka miaka ya 80 mnavalishwa nguo aina moja nyote watanganyika, huo ndio uongozi wenu mnaouabudu mpaka sasa iv.
 
Ndio huwezi kuifanya itambulike hiyo bendera yako na kama umekereka na utakereka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tulikwenda kama wakimbizi miaka ya 64 sasa hivi je? Na nyinyi mulikua wapi kipindi hicho, kipindi hicho mpaka miaka ya 80 mnavalishwa nguo aina moja nyote watanganyika, huo ndio uongozi wenu mnaouabudu mpaka sasa iv.
Huko unavaa nguo ngapi, Au unalea Watoto
 
Back
Top Bottom