Our time is now: CHADEMA msirudi bungeni mpaka 2015!

hata kama wamerudi msg sent
walitoka nje sababu hawakutaka kuuhusika kuwanyonga watanzania kwa kile kilichokua kinafanyika
 
kinachotakiwa sana ni Chadema na vyama vya upinzani kwa pamoja ku-engineer patriotic movement nchi nzima,tuhusishe makundi yote ya kijamii.Mjadala wa suala kama la Katiba ni suala zito lenye maslahi kwa Taifa na inashangaza sana speaker anapokuwa biased.Hii sio katiba ya chama kimoja cha siasa,wanataka katiba ipitishwe kwa mazingira yanayofanana na yale ya mwaka 1977

Je kama tungekuwa na mfumo tough kama wa Uswisi kwenye kupata katiba ingekuwaje?Waliosoma world constitution wanaelewa jinsi mchakato wa katiba wa Taifa la Uswisi ulivyo tata au waliosoma mabadiliko ya Taifa la Ufaransa hadi kufikia leo hii wana katiba ya Jamhuri ya Tano wamepitia wapi.Nilipata matumaini makubwa kuona akina David Kafulila na Felix Mkosamali waliungana na wabunge wa NCCR-Mageuzi.Katika sula hili la katiba nina wasiwasi na ghiliba za kikoloni zilizoko ndani ya vyama vya siasa kuzuia maamuzi ya wabunge wao ndani na nje ya Bunge.Usishangae wabunge wa vyama kama CUF,NCCR nk. kupigwa maarufuku kuunga mkono movement za chadema

The politics in our political parties is terrible. A situation where they insist on Godfather-ism, mega bribery,allowing illiterate, greedy and unqualified persons to run for sensitive political post. Tanzania will continue running around aimlessly, like a headless chicken until this evil jinx in our political parties is broken.

we have some political platforms which people use to realize their ambition not the ones to save the people. As far as this moment is concerned, I sometimes don't see any difference in some of political parties in Tanzania. You may blame the CCM,TLP or NCCR for all you want to blame them for. And when you differ in opinion, they will plot your exit. That is not the kind of party we want.

Chadema tusione haya kuhusu huu mchakato wa katiba,sioni sababu ya sisi kuendelea kukaa bungeni hasa pale itakapothibitika kwamba matakwa ya wananchi juu ya katiba hii yanapuuzwa na kutekwa nyara na wabunge wa chama tawala kwa kigezo wingi wao ndani ndani ya bunge,hii sio bajeti waliyozoea kupitisha kimiujiza.Hii inahitaji wide participation ya wananchi,huu ni mkataba kati ya watawala,viongozi na watawaliwa.Natoa wito kwa vyama vyote,asasi za kiraia,makundi yote ya kijamii kuungana kwa pamoja ikibidi nje ya bunge tupate tunachostahili.Hatuandikiwi mkataba sisi,siisi ndiyo tunaostahili kuandika mkataba wa Tanzania tuitakayo.Viongozi waliopo watapita lakini Tanzania itakuwepo.

Vijana jiungeni kwa wingi kwenye jukwaa huru la Youth Patriotic Movement-Tanzania,kuna mizengwe ya hapa na pale kwenye usajili lakini tunakamilisha soon.Wanaostahili kusajili wanadhani kitakuwa chama cha siasa,hofu tu
 
we have some political platforms which people use to realize their ambition not the ones to save the people. As far as this moment is concerned, I sometimes don’t see any difference in some of political parties in Tanzania. You may blame the CCM,TLP or NCCR for all you want to blame them for. And when you differ in opinion, they will plot your exit. That is not the kind of party we want.

Chadema tusione haya kuhusu huu mchakato wa katiba,sioni sababu ya sisi kuendelea kukaa bungeni hasa pale itakapothibitika kwamba matakwa ya wananchi juu ya katiba hii yanapuuzwa na kutekwa nyara na wabunge wa chama tawala kwa kigezo wingi wao ndani ndani ya bunge,hii sio bajeti waliyozoea kupitisha kimiujiza.Hii inahitaji wide participation ya wananchi,huu ni mkataba kati ya watawala,viongozi na watawaliwa.Natoa wito kwa vyama vyote,asasi za kiraia,makundi yote ya kijamii kuungana kwa pamoja ikibidi nje ya bunge tupate tunachostahili.Hatuandikiwi mkataba sisi,siisi ndiyo tunaostahili kuandika mkataba wa Tanzania tuitakayo.Viongozi waliopo watapita lakini Tanzania itakuwepo.

Vijana jiungeni kwa wingi kwenye jukwaa huru la Youth Patriotic Movement-Tanzania,kuna mizengwe ya hapa na pale kwenye usajili lakini tunakamilisha soon.Wanaostahili kusajili wanadhani kitakuwa chama cha siasa,hofu tu

word..!
 
kinachotakiwa sana ni Chadema na vyama vya upinzani kwa pamoja ku-engineer patriotic movement nchi nzima,tuhusishe makundi yote ya kijamii.Mjadala wa suala kama la Katiba ni suala zito lenye maslahi kwa Taifa na inashangaza sana speaker anapokuwa biased.Hii sio katiba ya chama kimoja cha siasa,wanataka katiba ipitishwe kwa mazingira yanayofanana na yale ya mwaka 1977

Je kama tungekuwa na mfumo tough kama wa Uswisi kwenye kupata katiba ingekuwaje?Waliosoma world constitution wanaelewa jinsi mchakato wa katiba wa Taifa la Uswisi ulivyo tata au waliosoma mabadiliko ya Taifa la Ufaransa hadi kufikia leo hii wana katiba ya Jamhuri ya Tano wamepitia wapi.Nilipata matumaini makubwa kuona akina David Kafulila na Felix Mkosamali waliungana na wabunge wa NCCR-Mageuzi.Katika sula hili la katiba nina wasiwasi na ghiliba za kikoloni zilizoko ndani ya vyama vya siasa kuzuia maamuzi ya wabunge wao ndani na nje ya Bunge.Usishangae wabunge wa vyama kama CUF,NCCR nk. kupigwa maarufuku kuunga mkono movement za chadema

The politics in our political parties is terrible. A situation where they insist on Godfather-ism, mega bribery,allowing illiterate, greedy and unqualified persons to run for sensitive political post. Tanzania will continue running around aimlessly, like a headless chicken until this evil jinx in our political parties is broken.

we have some political platforms which people use to realize their ambition not the ones to save the people. As far as this moment is concerned, I sometimes don't see any difference in some of political parties in Tanzania. You may blame the CCM,TLP or NCCR for all you want to blame them for. And when you differ in opinion, they will plot your exit. That is not the kind of party we want.

Chadema tusione haya kuhusu huu mchakato wa katiba,sioni sababu ya sisi kuendelea kukaa bungeni hasa pale itakapothibitika kwamba matakwa ya wananchi juu ya katiba hii yanapuuzwa na kutekwa nyara na wabunge wa chama tawala kwa kigezo wingi wao ndani ndani ya bunge,hii sio bajeti waliyozoea kupitisha kimiujiza.Hii inahitaji wide participation ya wananchi,huu ni mkataba kati ya watawala,viongozi na watawaliwa.Natoa wito kwa vyama vyote,asasi za kiraia,makundi yote ya kijamii kuungana kwa pamoja ikibidi nje ya bunge tupate tunachostahili.Hatuandikiwi mkataba sisi,siisi ndiyo tunaostahili kuandika mkataba wa Tanzania tuitakayo.Viongozi waliopo watapita lakini Tanzania itakuwepo.

Vijana jiungeni kwa wingi kwenye jukwaa huru la Youth Patriotic Movement-Tanzania,kuna mizengwe ya hapa na pale kwenye usajili lakini tunakamilisha soon.Wanaostahili kusajili wanadhani kitakuwa chama cha siasa,hofu tu

LOL! I once said we have same mind!

hatuhitaji ballot box tena...lets move on! CCM must go!!
 
Hivi nyinyi mnajua madhara ya hawa jamaa kutorudi Bungeni au kutohudhuria vikao vya Bunge mfululizo? au mnaongea tu..?
 
We all know what we want, the question is by which mean(s) we reach there.
Katiba Mpya sio ombi wala hisani ya watawala & ccm ambao wanaamini ktk nguvu ya dhuluma, rushwa, vitisho na unyanyasaji ktk kutawala.

So Ben, I would consider your option for patriotic movement.
 
Dawa ni kuongeza wabunge wa vyama vya upinzani mjengoni ndo kuburuzwa kutapungua. Watz wengi are but CYNICS incuding ME!
 
ukifuatilia siasa za chadema na wanachama na wafuasi wa chadema tatizo lao kwa serikali hii ni kikwete tatizo lake wanaomlalamikia sijui ni utendaji mbovu wa kazi au dini yake, maana kauli yake utawasikia aondoke ameshindwa, ameshindwa ni bora mkapa, bora angelikuwa Lowasa, Lakini huyu mvaa baragashia hawezi ameshindwa, elimu yenyewe ni ya madrasa, wenye akili wanaelewa kwamba tatizo si CCM kumbe ni kikwete, kwa hiyo 2015 akisisimama mgombea aliye chaguo lao watampa kura zao kwa kuwa hata kura alizopata slaa ni za wana CCM waliokuwa hawamtaki kikwete, kwa hiyo 2015 CCM kazi kwenu mzichange karata vizuri za mgombea Uraisi.
 
kama Malaria Sugu vile..... udini udini kila kukicha unabadilisha ID kazi unayo
 
Back
Top Bottom