Otouh aula UN, Hosea aula au inakuwaje?

kishika posti muhimu kwa nchii za kiafrika si kwamba una uwezo.
ASHAROSE ametokea bongo mpaka UN tujikumbushe ni upi uliokuwa ufanisi wake kupelekea JK kumpendekeza kwa BAN MOON???

sofia simba ni waziri ila naamin IQ yake ni ndogo kuliko ya kuku wa kienyeji.

hahahaha umeua mkuu
 
Alipoulizwa mambo yaliyoifanya Dk Hossea na Tanzania kupata heshima hiyo wakati ambapo Taifa limekuwa likikabiliwa na misuguano ya rushwa, Membe alisema:

"Uhuru huo wa kuruhusu mijadala ya rushwa nchini ndiyo yanayoijengea heshima Tanzania. Hii inaonyesha uwazi wa mapambano dhidi ya rushwa."Alisema kwamba rushwa ipo sehemu nyingi duniani lakini ni nchi chache zinazotoa uhuru wa wa kuzungumza mambo hayo hadharani kama ilivyo Tanzania.

"Vyombo vya habari vimekuwa huru... Kuwepo kwa mijadala, misuguano, kunatoa fursa ya kuweka sera na mipango ya kukabiliana na rushwa," alisema Membe.

HIvi Membe anafikiri sisi ni vichaaa au hatua akili nini??? Yaani anaposema eti kuna uwazi katika kujadili rushwa ana maana gani kama hakuna hakua zinazochukuliwa?? Kwa hiyo kazi ya Hosea ni zip?? Ni kuongoza majadiliano ya rushwa au kupambana na rushwa?? Sijawahi sikia mjadala kuhusu rushwa unajadiliwa bungeni zaidi ya Richmond ambayo nayo wamestukia na hawatarudia tena!!
 
sasa mtu kama hosea anapewa nafasi ya level ya afrika kwa rekodi gani ya perfomance aliyoionyesha hata hapa tanzania tu?
Shida kama wanapewa recommendations toka kwa maafisa wa tanzania au rais, basi ujue ni kazi bure!
Sasa imagine mbtu mbovu kama hosea anaenda kuzuia rushwa gani africa?...my hairs!

hii inadhihirisha ni jinsi gani afrika imeoza.
Ina maana tanzania ndio mfano wao wa kuigwa? Omg!!!! They come to fetch knowledge from us?
Really? Are WE that good? Oooh my africa!!!!
 
sijaelewa kwa kiingereza kipi JK aandike reference nzito kama hizi...we umeona barua aliyoandika kwa yule mama wa world bank?? ungezimia ..hata mwanangu gaude yuko shule ya upili hawezi kuandika vile ..yaani yalikuwa ni mautumbo ya bata

your post smell like the backside of ma aunt matlida.
I thought you should know facepalm.
 
Back
Top Bottom