otea nani alesema hivi?

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
266
NIMEFADHAIKA SANA, NIMEDHALILISHWA SANA, NIMEONEWA SANA KATIKA HILI,, there's a wish which am going to grant, TATIZO NI UWAZIRI MKUU...

ukipatia unapata soda ya bure baada ya kuchezesha draw ya washiriki wote wa shindano hili
 
muzee ya munduli, babaa la richmondi=!
JzXm3LnunzH+48cm3D7nMrtlbFZOjJqmvLa2oraukoaQMA5YbIOVuJDrEAAAAASUVORK5CYII=
 
Waziri mkuu aliyejiuzulu kwa tuhuma za ufisadi Edward Lowasa.
 
Hahaaa umenikumbusha kauli mbiu yake ya kampeni 2010....

"Tulifurahi pamoja, tukahuzunika pamoja, tutasonga mbele pamoja na tutashinda'

Monduli 2010
 
Bingwa wa plann za kifisadi BONGO ni nani? Kama ada ya bongo swali linajibiwa kwa swali!!!!
 
mie nadhani mkuu mwenyewe maana awamu yake ya pili naona kaanza kuchemka mapemaaaaaaaaaaaa kila siku lawama na maandamano
Bingwa wa plann za kifisadi BONGO ni nani? Kama ada ya bongo swali linajibiwa kwa swali!!!!
 
Waziri mkuu aliyefisadiwa,
kipenzi cha wtu wa monduli,
shujaa wa monduli,
nina mashaka na ufisadi wake.
 
tuweke record sawa; kuna kustaafu, kustaafishwa na kujizulu, huyu jamaa alijiuzulu
lugha rahisi:
Kujiuzulu= Kuamua kuacha kazi kwa kukiri kuishindwa kazi hiyo kwa sababu yoyote ile
Hitimisho- kwa hiyo Edward ngoyai lowassa alijiuzulu
asanteni
 
wao wameamua kumlinda sijui ili agombee 2015 wanasema mstaafu hii si kweli kabisa kwanza alifukuzwa kazi na wananchi
tuweke record sawa; kuna kustaafu, kustaafishwa na kujizulu, huyu jamaa alijiuzulu
lugha rahisi:
Kujiuzulu= Kuamua kuacha kazi kwa kukiri kuishindwa kazi hiyo kwa sababu yoyote ile
Hitimisho- kwa hiyo Edward ngoyai lowassa alijiuzulu
asanteni
 
NIMEFADHAIKA SANA, NIMEDHALILISHWA SANA, NIMEONEWA SANA KATIKA HILI,, there's a wish which am going to grant, TATIZO NI UWAZIRI MKUU...

ukipatia unapata soda ya bure baada ya kuchezesha draw ya washiriki wote wa shindano hili

Ni rafiki yake wa karibu Kikwete na Rostam ambaye inasemekana pamoja na tuhuma hizo bado anaonekana ni mchapa kazi kuliko Pinda
 
Na kwa taarifa yenu analipwa asilimia80 ya mshahara anaolipwa waziri mkuu kila mwezi ikiwa ni malipo ya waziri mkuu mstaafu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom