Osama Bin Laden's body before being dumped into the Arabian Sea

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,602
4,354
Navy seals wanamkagua kabla ya kumshusha baharini
 
Attachments

  • liveleak-osama1.jpg
    liveleak-osama1.jpg
    27.6 KB · Views: 994
kuna mtu ameshaileta hii na pia kuthibitishwa kuwa ni photo shop product..ipo thread tayari
 
hahahaha watatoa nyingi tu lakini tusubiri footage nyingine ya Osama june Eid el Haji

Endela kujipa moyo wakati mzoga wa osama una-undergo digestion kwenye matumbo ya samaki wa baharini. Kama osama ni shujaa wenu badi huo ndiyo mwisho wa hadithi.
 
Hiyo picha ni ya kutoka kwenye movie ya Blackhawk Down.

hayawe, ila kundi lake limethibitisha kwamba jamaa kauliwa na makomandoo wa US, kuna thread international forum nazani inaweza kukusaidia.
 
Hivi Osama wa Amerika "Bushi" hajakamatwa bado? maana na yeye aliuwa mamia ya kina mama na watoto nchini Iraq wakati wa kusaka wese no I meant silaha za maangamizi.
 
0sama died nearly 10 years ago on kidney related deases..u.s.a wakakausha ili wazidi kushambulia afghanstan na iraq..nao mission accomplished wanatuleta upuuzi huu..ndo mana george bush akataa mwaliko cuz ukweli wote anaujua.
 
hayawe, ila kundi lake limethibitisha kwamba jamaa kauliwa na makomandoo wa US, kuna thread international forum nazani inaweza kukusaidia.
Sasa wewe ndio umeandika nini? Tunazungumzia authenticity ya picha wewe unaleta mambo ya sijui kundi lake limekubali, umeambiwa nimebisha kuwa hajafa? Simply hiyo picha ya Osama imekuwa photoshopped kutoka kwenye picha ya kwenye movie ya Blackhawk Down, angalia chini hapo.
blackhawkdown.jpg

Osama-bin-laden-morto-foto-falsa-2.jpg
 
0sama died nearly 10 years ago on kidney related deases..u.s.a wakakausha ili wazidi kushambulia afghanstan na iraq..nao mission accomplished wanatuleta upuuzi huu..ndo mana george bush akataa mwaliko cuz ukweli wote anaujua.

Source yako ni ipi nasi tufuatilie?!
 
wangejua wangempa mbwa, yaani bobi ale nyama yake, au wangewapa nguruwe wa porini.
 
yaonyesha kuna watu watakaoishi milele humu duniani,,,,jamani ni pumzi tuu hizo zinahadaaaa,,,allah atampa kauli thabit kama kweli kafa na kama kweli kauliwa,,,
Endela kujipa moyo wakati mzoga wa osama una-undergo digestion kwenye matumbo ya samaki wa baharini. Kama osama ni shujaa wenu badi huo ndiyo mwisho wa hadithi.
 
aahhahahhaaha wasije wakatuingizia vita vya rambo kabisa wakatufanya machali heheh looleti kajikaza before dumped hahaha,,

Back
Top Bottom