Du!, sasa siku mzima ya leo news ndio hii hii na itadumu kwa siku/wiki kadhaa!.
I mean he can not try to utter any unconfirmed info at this kind of period, due to the coming 2012 races!What is unconfirmed when he said he is killed and they have his body?
Especially details zikianza kutokana videos and whatnot nadhani wiki hii yote ndio tutakuwa tunasikiliza hii.Du!, sasa siku mzima ya leo news ndio hii hii na itadumu kwa siku/wiki kadhaa!.
So US coverts Op agents got a wind of Osama's presence wiki iliyopita wakaamua kummonitor kwanza na kupanga jinsi ya kwenda kumshika au?
Kichuguu, mara baada ya mission accomplished, mtu wa kwanza Obama kumjulisha ni Bush, na mara baada ya Obama kutangaza pale White House, CNN wakatangaza salaa za kwanza za pongezi ni kutoka kwa Bush.Obama angemshukuru Bush kwa kiasi fulani, nadhani amekuwa mbinafsi sana
So US coverts Op agents got a wind of Osama's presence wiki iliyopita wakaamua kummonitor kwanza na kupanga jinsi ya kwenda kumshika au?
Kichuguu, mara baada ya mission accomplished, mtu wa kwanza Obama kumjulisha ni Bush, na mara baada ya Obama kutangaza pale White House, CNN wakatangaza salaa za kwanza za pongezi ni kutoka kwa Bush.
Obama si mweusi. Ni nusu mzungu na nusu mweusi. Nusu ya kitu haiwezi kuwa nzima ya kitu.
unusu mzungu uko wapi hali backe ni mkenya hata biology inatuambia baba ndo anatoa mbegu za kuumba mtoto au sivyo? Pili mbona majina alipewa full ya babake
Duh mkuu hii post imenichekesha lol!!leo ndio siku America imepata uhuru dhidi ya terrorism!. Natumaini itatangazwa kuwa public holiday!.
Ha ha haaa!leo ndio siku America imepata uhuru dhidi ya terrorism!. Natumaini itatangazwa kuwa public holiday!.