Osama bin Laden, je ni kweli alikufa au yu hai, au ni propaganda? tutazame kwa jicho la tatu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Nimeikuta Fb,

OSAMA BIN LADEN, JE, NI KWELI ALIKUFA AU YU HAI, AU NI PROPAGANDA? TUTAZAME KWA JICHO LA TATU ILI TUJIOKOE.

Kabla ya ujio wa Yesu Kristu kulikuwa na watu wengi sana wenye vipaji ambao kimsingi walipata mateso sana kulingana na vipaji vyao kisa wivu wa watawala wa kipindi hicho, tuna mwona Daudi alivyoteswa na Mfalme Sauli kisa kumuonea wivu Daudi kwa karama alizokuwa nazo, tunaona Farao ilivyokuwa na wivu kwa Musa kiasi kwamba hakutaka kuwaachia watu wake, tunaona ndugu wa Yusufu walivyomuonea wivu mdogo wao kisa tu Mungu amemwandalia makao mazuri mbeleni n.k.

Mara nyingi sana watu wenye vipaji huonewa sana na kudhalilishwa ili tu waonekane hawafai katika jamii kwa ujumla. Mtu anaweza kuwa na kipaji kuliko watawala wote Dunia nzima au katika nchi yake, kwa sababu ya wivu anaweza kutishiwa kuuawa au akabadilishiwa Ubini wa ukoo wake na kupewa ubini wa kiongozi Fulani ili ukoo wa yule kiongozi uonekane ni bora sana au wanatoa watoto wenye hekima au maarifa, michezo hii ya kipuuzi inachezwa sana hapa Duniani, unashangaa kuona kiongozi Fulani anajulikana kwa jina la Marehemu Kiongozi Fulani lakini hawana hata chembechembe ya kufanana na inasemekana ni mtoto wa yule marehemu kiongozi. Yote haya yanasababishwa na kupokonywa koo, tunapoteza koo nzuri kisa wivu wa kijinga. Yesu walimuonea wivu sana kwa vipaji na karama nyingi alizokuwa nazo na kisa tu anauwezo mkubwa lakini ametoka familia maskini sana kwa hiyo hafai kuwa kiongozi, wakaona wamzushie ni jambazi na wakahalalisha kwa kumsulubisha msalabani na majambazi wawili ili ionekane nay eye ni jambazi na sio mtu mwema. Turejee kwa Osama aliyekuwa maarufu kama gaidi;

1. OSAMA ALIKUWA GAIDI AU LAAA!!!!

Hapa kuna ukweli endapo utafiti ulifanywa na kuonesha ni kweli osama alikuwa gaidi na vielelezo halali vipo, vina vyodhihirisha uhalisia wa mtu kutenda matukio ya ugaidi na sio maneno ya kubumba ili kumchafua mtu mzuri kisa ana vipaji vingi au amewafanyia jambo zuri sasa mmeshindwa kumtelekeza kwa kila mbinu. Kuna michezo ya kisiasa wanapotaka kumuangusha Upcoming Leader hutumia propaganda zinazoendana na ukweli, wanaweza kulipua mahali Fulani au kudhuru mtu Fulani halafu wanamsingizia yule ambaye wao wanaona ana wazidi uwezo au karama na kumuweka vizuizi kwa mtindo huo,na ikibidi kumbadilisha ubini wote au kumpa majina tofauti ili tu asijulikane kama ni yeye aliyefanya jambo Fulani zuri. Je, ni kweli Osama alikuwa ni gaidi….tutafakari.

2. OSAMA YUPO HAI AU AMEKUFA.

Yote yanawezekana kuwa sawa, endapo Osama amekufa basi kuna uhalisia kweli alikuwa gaidi lakini vifo vyake vimekuwa na mazingira tatanishi kiasi kwamba hakuna jibu sahihi, ndipo tunaposema huenda ni propaganda, kama yu hai basi amebadilishwa ubini na kupewa majina mengine na anaishi mpaka leo. Tumpe Mungu nafasi, kama mtu ana karama nyingi na amefanya jambo zuri katika nchi yake kwa gharama zake na nguvu zake au ameokoa Dunia kwa mkono wake na karamu yake, basi apewe heshima yake ni sio kumdhalilisha kwa kumuita gaidi au kumzushia shoga au kumzushia jambazi au kumzushia tapeli ili asionekane kama ana faa. Mungu awatangulie sana wana wa Afrika na Tanzania yetu.

NB; Uislamu una haja ya kubadili mfumo wa dini yake ili kumfanya muumini wa dini yake awe mwema au aheshimike kwa mambo mazuri anayofanya kwa jamii na asizushiwe propaganda.

Ndimi: DEOGRATIUS KISANDU

KIJAKAZI CHA ROHO MTAKATIFU

5 DESEMBA 2016
 
Kifo cha Osama kina maswali hasa ukiangalia namna inavyoelezwa alizikwa kwamba alizikwa baharini kutokea kwenye meli ya kivita ya Marekani iliyokuwa na mamia ya wanamaji lakini hakuna hata mmoja aliyepiga picha au kurekodi tukio hilo hasa ikizingatiwa Bin Laden alikuwa adui namba moja wa Marekani.
Kwa jinsi Wamarekani wanavyopenda kujionyesha iliwezekanaje hata picha moja isisambazwe duniani kama uthibitisho?
 
Marekani kama wangefanikiwa hata tu kupata maiti ya Osama wangeichoma mishkaki hadharani. Tumeshudia maadui kadhaa wa marekani wakidhalilishwa hadi kufa, mf Saddam na wanawe, Gadafi nk. Iweje leo mtu ambae walikuwa wanamtafuta kwa udi na uvumba wamzike kimya kimya? Kama Osama amekufa kweli itakuwa amekufa kwa kifo kingine tu ila si zile operesheni za kizushi za USA
 
Osama alishajifia siku nyingi sana.Kama angekuwa hai Trump angemsaka mpaka kwenye mabegi ya kuhifadhia nguo.
 
.

NB; Uislamu una haja ya kubadili mfumo wa dini yake ili kumfanya muumini wa dini yake awe mwema au aheshimike kwa mambo mazuri anayofanya kwa jamii na asizushiwe propaganda.

Ndimi: DEOGRATIUS KISANDU

KIJAKAZI CHA ROHO MTAKATIFU

5 DESEMBA 2016

Hapa umechemka sana!. Unamaanisha wabadili aya za Qurani au wasizifuate?
 
Nimeikuta Fb,

OSAMA BIN LADEN, JE, NI KWELI ALIKUFA AU YU HAI, AU NI PROPAGANDA? TUTAZAME KWA JICHO LA TATU ILI TUJIOKOE.

Kabla ya ujio wa Yesu Kristu kulikuwa na watu wengi sana wenye vipaji ambao kimsingi walipata mateso sana kulingana na vipaji vyao kisa wivu wa watawala wa kipindi hicho, tuna mwona Daudi alivyoteswa na Mfalme Sauli kisa kumuonea wivu Daudi kwa karama alizokuwa nazo, tunaona Farao ilivyokuwa na wivu kwa Musa kiasi kwamba hakutaka kuwaachia watu wake, tunaona ndugu wa Yusufu walivyomuonea wivu mdogo wao kisa tu Mungu amemwandalia makao mazuri mbeleni n.k.

Mara nyingi sana watu wenye vipaji huonewa sana na kudhalilishwa ili tu waonekane hawafai katika jamii kwa ujumla. Mtu anaweza kuwa na kipaji kuliko watawala wote Dunia nzima au katika nchi yake, kwa sababu ya wivu anaweza kutishiwa kuuawa au akabadilishiwa Ubini wa ukoo wake na kupewa ubini wa kiongozi Fulani ili ukoo wa yule kiongozi uonekane ni bora sana au wanatoa watoto wenye hekima au maarifa, michezo hii ya kipuuzi inachezwa sana hapa Duniani, unashangaa kuona kiongozi Fulani anajulikana kwa jina la Marehemu Kiongozi Fulani lakini hawana hata chembechembe ya kufanana na inasemekana ni mtoto wa yule marehemu kiongozi. Yote haya yanasababishwa na kupokonywa koo, tunapoteza koo nzuri kisa wivu wa kijinga. Yesu walimuonea wivu sana kwa vipaji na karama nyingi alizokuwa nazo na kisa tu anauwezo mkubwa lakini ametoka familia maskini sana kwa hiyo hafai kuwa kiongozi, wakaona wamzushie ni jambazi na wakahalalisha kwa kumsulubisha msalabani na majambazi wawili ili ionekane nay eye ni jambazi na sio mtu mwema. Turejee kwa Osama aliyekuwa maarufu kama gaidi;

1. OSAMA ALIKUWA GAIDI AU LAAA!!!!

Hapa kuna ukweli endapo utafiti ulifanywa na kuonesha ni kweli osama alikuwa gaidi na vielelezo halali vipo, vina vyodhihirisha uhalisia wa mtu kutenda matukio ya ugaidi na sio maneno ya kubumba ili kumchafua mtu mzuri kisa ana vipaji vingi au amewafanyia jambo zuri sasa mmeshindwa kumtelekeza kwa kila mbinu. Kuna michezo ya kisiasa wanapotaka kumuangusha Upcoming Leader hutumia propaganda zinazoendana na ukweli, wanaweza kulipua mahali Fulani au kudhuru mtu Fulani halafu wanamsingizia yule ambaye wao wanaona ana wazidi uwezo au karama na kumuweka vizuizi kwa mtindo huo,na ikibidi kumbadilisha ubini wote au kumpa majina tofauti ili tu asijulikane kama ni yeye aliyefanya jambo Fulani zuri. Je, ni kweli Osama alikuwa ni gaidi….tutafakari.

2. OSAMA YUPO HAI AU AMEKUFA.

Yote yanawezekana kuwa sawa, endapo Osama amekufa basi kuna uhalisia kweli alikuwa gaidi lakini vifo vyake vimekuwa na mazingira tatanishi kiasi kwamba hakuna jibu sahihi, ndipo tunaposema huenda ni propaganda, kama yu hai basi amebadilishwa ubini na kupewa majina mengine na anaishi mpaka leo. Tumpe Mungu nafasi, kama mtu ana karama nyingi na amefanya jambo zuri katika nchi yake kwa gharama zake na nguvu zake au ameokoa Dunia kwa mkono wake na karamu yake, basi apewe heshima yake ni sio kumdhalilisha kwa kumuita gaidi au kumzushia shoga au kumzushia jambazi au kumzushia tapeli ili asionekane kama ana faa. Mungu awatangulie sana wana wa Afrika na Tanzania yetu.

NB; Uislamu una haja ya kubadili mfumo wa dini yake ili kumfanya muumini wa dini yake awe mwema au aheshimike kwa mambo mazuri anayofanya kwa jamii na asizushiwe propaganda.

Ndimi: DEOGRATIUS KISANDU

KIJAKAZI CHA ROHO MTAKATIFU

5 DESEMBA 2016
nime soma bandiko lako mara mbili lakini sijafanikiwa kutambua nini unataka kukieleza apa ivo vipaji ulivo gusia vya osama ni vipi?? na connection ya uwepo wake hai au laa ni upi??

una uthibitisho gani na ili ulilo liandika apa kua osama yu hai ama laa!!!!???
 
Mwl. Kisandu (mwandishi) ni kama zimefyatuka kidogo. Alikuwa CCM akahamia CHADEMA akarudi tena CCM. Sijui jeraha la mkia lishakuwa infected lakini huwa anaongea mambo ya ajabu sana mf. Kuwindwa kuuawa, kunyang'anywa vipaji vyake, kufunguliwa kesi bandia, kuchukuliwa msukule na conspiracies kibao. Ili kumwelewa sawasawa ni lazima kuyasoma maandishi yake katika muktadha huo. I hope hii background info itasaidia.
 
Nimeikuta Fb,

OSAMA BIN LADEN, JE, NI KWELI ALIKUFA AU YU HAI, AU NI PROPAGANDA? TUTAZAME KWA JICHO LA TATU ILI TUJIOKOE.

Kabla ya ujio wa Yesu Kristu kulikuwa na watu wengi sana wenye vipaji ambao kimsingi walipata mateso sana kulingana na vipaji vyao kisa wivu wa watawala wa kipindi hicho, tuna mwona Daudi alivyoteswa na Mfalme Sauli kisa kumuonea wivu Daudi kwa karama alizokuwa nazo, tunaona Farao ilivyokuwa na wivu kwa Musa kiasi kwamba hakutaka kuwaachia watu wake, tunaona ndugu wa Yusufu walivyomuonea wivu mdogo wao kisa tu Mungu amemwandalia makao mazuri mbeleni n.k.

Mara nyingi sana watu wenye vipaji huonewa sana na kudhalilishwa ili tu waonekane hawafai katika jamii kwa ujumla. Mtu anaweza kuwa na kipaji kuliko watawala wote Dunia nzima au katika nchi yake, kwa sababu ya wivu anaweza kutishiwa kuuawa au akabadilishiwa Ubini wa ukoo wake na kupewa ubini wa kiongozi Fulani ili ukoo wa yule kiongozi uonekane ni bora sana au wanatoa watoto wenye hekima au maarifa, michezo hii ya kipuuzi inachezwa sana hapa Duniani, unashangaa kuona kiongozi Fulani anajulikana kwa jina la Marehemu Kiongozi Fulani lakini hawana hata chembechembe ya kufanana na inasemekana ni mtoto wa yule marehemu kiongozi. Yote haya yanasababishwa na kupokonywa koo, tunapoteza koo nzuri kisa wivu wa kijinga. Yesu walimuonea wivu sana kwa vipaji na karama nyingi alizokuwa nazo na kisa tu anauwezo mkubwa lakini ametoka familia maskini sana kwa hiyo hafai kuwa kiongozi, wakaona wamzushie ni jambazi na wakahalalisha kwa kumsulubisha msalabani na majambazi wawili ili ionekane nay eye ni jambazi na sio mtu mwema. Turejee kwa Osama aliyekuwa maarufu kama gaidi;

1. OSAMA ALIKUWA GAIDI AU LAAA!!!!

Hapa kuna ukweli endapo utafiti ulifanywa na kuonesha ni kweli osama alikuwa gaidi na vielelezo halali vipo, vina vyodhihirisha uhalisia wa mtu kutenda matukio ya ugaidi na sio maneno ya kubumba ili kumchafua mtu mzuri kisa ana vipaji vingi au amewafanyia jambo zuri sasa mmeshindwa kumtelekeza kwa kila mbinu. Kuna michezo ya kisiasa wanapotaka kumuangusha Upcoming Leader hutumia propaganda zinazoendana na ukweli, wanaweza kulipua mahali Fulani au kudhuru mtu Fulani halafu wanamsingizia yule ambaye wao wanaona ana wazidi uwezo au karama na kumuweka vizuizi kwa mtindo huo,na ikibidi kumbadilisha ubini wote au kumpa majina tofauti ili tu asijulikane kama ni yeye aliyefanya jambo Fulani zuri. Je, ni kweli Osama alikuwa ni gaidi….tutafakari.

2. OSAMA YUPO HAI AU AMEKUFA.

Yote yanawezekana kuwa sawa, endapo Osama amekufa basi kuna uhalisia kweli alikuwa gaidi lakini vifo vyake vimekuwa na mazingira tatanishi kiasi kwamba hakuna jibu sahihi, ndipo tunaposema huenda ni propaganda, kama yu hai basi amebadilishwa ubini na kupewa majina mengine na anaishi mpaka leo. Tumpe Mungu nafasi, kama mtu ana karama nyingi na amefanya jambo zuri katika nchi yake kwa gharama zake na nguvu zake au ameokoa Dunia kwa mkono wake na karamu yake, basi apewe heshima yake ni sio kumdhalilisha kwa kumuita gaidi au kumzushia shoga au kumzushia jambazi au kumzushia tapeli ili asionekane kama ana faa. Mungu awatangulie sana wana wa Afrika na Tanzania yetu.

NB; Uislamu una haja ya kubadili mfumo wa dini yake ili kumfanya muumini wa dini yake awe mwema au aheshimike kwa mambo mazuri anayofanya kwa jamii na asizushiwe propaganda.

Ndimi: DEOGRATIUS KISANDU

KIJAKAZI CHA ROHO MTAKATIFU

5 DESEMBA 2016
Huujui uislamu,unausikia kutoka kwa watu wasiojua uislamu msome huyu dada alikuwa kwenye field afghanstan atakuelezea uislamu ulivyo
 
Yvone ridley
 
Back
Top Bottom