ORYX (T) LTD-mwenye taarifa!

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
323
105
Wassalaamu wanaJF!!
Naomba mwenye ufahamu wowote hawa jamaa ORYX kuna kazi walitangaza mwezi April kama wameshaita au laaa...Nitashukuru sanaa
 
Hata mimi nilituma application zangu ktk hiyo kampuni bt sijajua michakato inaendaje,naona kimya hadi leo...
 
Post gani??
Kuna GL -Accountant walishafanya Interview.
Wa Stock nafikiri bado
 
Kazi maeneo kama hayo bila kuwa recommended ni mtihani mgumu. Historia inaonyesha wawekezaji wanaogopa sana kupigwa kwahiyo wako extra careful
 
Back
Top Bottom