MAHENDEKA JF-Expert Member Jul 9, 2010 308 153 Jan 2, 2012 #24 1.Babu wa loliondo 2.kuuwawa kwa osama bin awadh bin muhamad bin laden mwanzoni kabisa mwa mwezi may 2011 3.kuuwawa kwa aibu kwa kanali muamar ghaddafi 4.Noti mpya Tanzania na kizazaa cha kutokukubalika kwake..hehehe
1.Babu wa loliondo 2.kuuwawa kwa osama bin awadh bin muhamad bin laden mwanzoni kabisa mwa mwezi may 2011 3.kuuwawa kwa aibu kwa kanali muamar ghaddafi 4.Noti mpya Tanzania na kizazaa cha kutokukubalika kwake..hehehe
Mupirocin JF-Expert Member Jan 28, 2011 1,739 744 Jan 2, 2012 #25 Usafirishaji wa wanyama pori kwenda Qatar, Afande shimbo kumiliki trillion tatu, Jk aikana Richmond na Dowans
Usafirishaji wa wanyama pori kwenda Qatar, Afande shimbo kumiliki trillion tatu, Jk aikana Richmond na Dowans
MissyNana Member Dec 29, 2011 40 6 Jan 2, 2012 #26 Raisi na serikali yake kushindwa kutimiza waliyoahidi kwa wanachi wake.
K kifrichy Member Dec 9, 2010 5 0 Jan 2, 2012 #27 1. Uchaguzi jimbo la igunga 2. Masoko kuwaka moto 3. Migomo vyuo vikuu 4. Wanafunzi wengi 4m4 2010 kufel 5. Tume nyingi
1. Uchaguzi jimbo la igunga 2. Masoko kuwaka moto 3. Migomo vyuo vikuu 4. Wanafunzi wengi 4m4 2010 kufel 5. Tume nyingi
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Jan 2, 2012 #28 Kuwafanya wahanga wa mafuriko dar dili kwa kuchangisha michango isiyotumika ipasavyo