Orodhesha Matukio Yaliyochefua Zaidi Mwaka 2011

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreaTthinkers
Hivi ndivyo tunavyoaga miaka hapa JF, ili kuwa na kumbukumbu ni vizuri nawe ukaweka tukio unalolikumbuka lilikuchefua au kukuhuzunisha ili libake humu JF milele
1. Anne Makinda kupandisha posho za wabunge hadi 200000 kwa siku
2.Kero ya Uhaba wa Mafuta (diesel na Petrol)
3.Mafuriko yaliyoua watu zaidi ya 40
4.Serikali kutumia 62bil sherehe za kutimiza miaka 50 ya Uhuru batili
5.Mabomu ya Mbagala na Gongo la Mboto kushindwa kumwadabisha Waziri husika
6.Kuzama kwa Meli Zanzibar na kuua mamia ya watu
7.Kujaa maji uwanja wa ndege Mwanza huku serikali ikiwa haina hata mpango wa kujenga mpya Eneo pana la Mabuki
8.Kuugua Ghafla kwa Mwakyembe na Mwandosya huku ikihusishwa na aftermath za Richmond tremor
9.Pinda kuuza ekari maelfu Rukwa kwa bei ya Sh. 150 kila Ekari kwa Wamarekani
10.............................
11................................
12................................

Nitaendelea kuorodhesha
 
10. Mafisadi wanunua JF to refer this post

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/207486-is-jf-imenunuliwa-na-mafisadi.html#post3055490
 
Kitendo cha m/kiti WA CCM dr... tarehe 5/2/2011 katika sherehe za kuzaliwa ccm Aliiikana richmond pia dowans kuwa ajawai ata kuonana na wamiliki wake na kudai kuwa wala hana nasaba nazo, na ktk kikao cha nec cha nov 2011 fisadi el akafunguka na kumchana kuwa kila lililokuwa likifanywa tangu richmond to kuzaliwa dowas alikuwa anajulishwa na alikuwa anahafiki na kubaliki kila jambo na wala hakupinga wala kukana shutuma hizo duuuuu, maana yake alitudanganya 5/2/2011 duh mkuu wa kaya muongo ril siku ile nilichefuka aswaaaaaaaaaaaaaaaa wadau...
 
1.Serikal ya CCM kuua raia Arsh, na Mtoto wa Mkulima kulidanganya taifa na kupotosha ukwel juu ya hilo, (ilniuma sana)
2. Wizara ya elimu kulidanganya taifa kua ajira za walimu wapya mwezi sept zngekua tayari kumbe ni uongo m2pu, mpaka Januar ilikua n giza tupu juu ya hilo.
3. 64 bilions used 4 nothng!
4. Mwaka wa changamoto nyng kwa utawala wa magamba a.k.a ccm! Maandamano kila kona!
5. Kuvua gambaaaa!
 
Serikali kupanga bei ya mazao kilimo wakati bidhaa za viwandani zinapeta. pia serikali kutotoa maelezo kuhusu suala la shimbo kumiliki sh. trilion 3 a.kusini. habari hizo zilipatikana kwenye mitandao ya compter
 
kauli ya prezoo mabom gongo la mboto "aaa...jaman, wamekufa wachache tuu.....teh....teh"
 
wabunge wanafki kutoka unguja na pemba walivyoungana kuutetea sijui muswada wa mchakato wa kuundwa kwa tume ya kuratibu muundo wa uundwaji wa chombo cha kukusanya maoni ya watz juu ya uundwaji wa katiba mpya dey bored me.
 
Back
Top Bottom