Orodha ya WATAKAOUAWA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,831
1. Mafisadi wote na wahujumu wa nchi
2. Wanasiasa wanaopandikiza sera za chuki za udini
3. Maafisa ardhi wanaouza eneo moja la ardhi kwa zaidi ya mtu mmoja
4. Manesi, wauguzi na madaktari wenye roho mbaya ambao wako tayari kutoa uhai
wa mgonjwa kwa sababu hajawapa hela ya chai.
5. Watendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani wanaouza mitihani na kuivujisha.
6. Polisi wanaosingizia watu na kuwabambikiza makosa mbalimbali ya uongo.
7. Endeleza orodha hii
 
wanasiasa na wabunge wote wanaowadanganya wananchi kwa kutoa ahadi ahadi ambazo wanajua kabisa kwamba hawawezi kuzitekeleza
 
12.vyombo vya habar vnavyokiuka utangazaji yan vnachochea mabaya
 
1. Mafisadi wote na wahujumu wa nchi
2. Wanasiasa wanaopandikiza sera za chuki za udini
3. Maafisa ardhi wanaouza eneo moja la ardhi kwa zaidi ya mtu mmoja
4. Manesi, wauguzi na madaktari wenye roho mbaya ambao wako tayari kutoa uhai
wa mgonjwa kwa sababu hajawapa hela ya chai.
5. Watendaji wa baraza la taifa la mitihani wanaouza mitihani na kuivujisha.
6. Polisi wanaosingizia watu na kuwabambikiza makosa mbalimbali ya uongo.
7. Endeleza orodha hii

tusiwaze namna ya kuuwana!tunapaswa kutafuta mbinu ya kutatua matatizo yetu,na kuwahukumu wakosefu kwa kutumia sheria zetu zilizopo!!
 
Hizo mbinu mnazotaka kuzitumia kutatua matatizo hazitafanya kazi kwa kuwa hao mnaotaka kuwawajibisha ndio wameshika mpini nanyi mmeshika makali
tusiwaze namna ya kuuwana!tunapaswa kutafuta mbinu ya kutatua matatizo yetu,na kuwahukumu wakosefu kwa kutumia sheria zetu zilizopo!!
 
siungi mkono kuchukua mamlaka ya kuwa mungu na kutoa roho za watu... tusiombee tusiyoyajua

what we need is to take CCM au poor government out.. sio kuuana... basi kama ni hivyo tuanze na kuua mazalia ya mbu

Kweli kabisa...
Mtaua hadi ndugu na jamaa zenu au hata nyie wengine mliopo hapa.HAKUNA ATAKAYEBAKI!

Siafiki mauaji....nyinyi hamna mamlaka ya kutoa rohi za watu..mmekuwa ziraili tangu lini?
MSHINDWE NA MLEGEE!
tUMIENI NGUVU HALALI-
 
Wana JF wenye sifa za kuwa wa baba au wamama wanaopost picha ambazo watoto wadogo hawastahili kuziona wakijua kabisa kuwa jamvi limevamiwa na watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom