Orodha ya wabunge waliosaini kuunga mkono hoja binafsi ya j.j. Mnyika (mb)

mumburya

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
321
448
Iliripotiwa kuwa Mbunge wa Ubungo, J. J. Mnyika ataanza leo jumatatu kukusanya saini za Wabunge ili kuwezesha kuwasilisha hoja binafsi ya dharura kuhusu marekebisho ya sheria ya hifadhi ya Jamii. Tunaomba kwa kupitia uzi huu tupate majina ya Wabunge hao kwa kadri watakavyokuwa wakiongezeka.

Hii itatusaidia kuwafahamu Wabunge wenye uchungu na wananchi na wale ambao wanajali maslahi yao binafsi.

Pia kwa kupitia uzi huu tutaweza kufanya mkakati wa kuwafuta kazi bila kujali ni wa chama gani. Tafadhali kama una namba ya mbunge wako mtwangie mara moja kusaini kwa Mnyika. Muda wa kulalamika umekwisha sasa ni vitendo tu.

List ni kama ifuatavyo:

1. John Mnyika (CHADEMA) - Ubungo - Mtoa hoja
2. .............................
3. .....................................
 
Iliripotiwa kuwa Mbunge wa Ubungo, J. J. Mnyika ataanza leo jumatatu kukusanya saini za Wabunge ili kuwezesha kuwasilisha hoja binafsi ya dharura kuhusu marekebisho ya sheria ya hifadhi ya Jamii. Tunaomba kwa kupitia uzi huu tupate majina ya Wabunge hao kwa kadri watakavyokuwa wakiongezeka. Hii itatusaidia kuwafahamu Wabunge wenye uchungu na wananchi na wale ambao wanajali maslahi yao binafsi. Pia kwa kupitia uzi huu tutaweza kufanya mkakati wa kuwafuta kazi bila kujali ni wa chama gani. Tafadhali kama una namba ya mbunge wako mtwangie mara moja kasaini kwa Mnyika. Muda wa kulalamika umekwisha sasa ni vitendo tu.

List ni kama ifuatavyo:

1. John Mnyika (CHADEMA) - Ubungo - Mtoa hoja
2. .............................
3. .....................................

anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.
 
anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.
nani na lini alitajwa? anyway anatuhumiwa na nani? ha ha ha ha ha mkuu siyo kila king'acho ni Dhahabu
 
Sasa naona humu ndani tunangiliwa, jj katuhumiwa lini? Naona myopic thinkers wanaemerge kwa wingi humu jf!
 
anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.

Utakuwa umerukwa akili
 
Jj hajatuhumiwa, ila baadhi ya wajumbe wa kamati, inamaana wewe thatha hufuatilii whaz goingon! Uliisikia hotuba ya jj!
 
Mie nilidhani orodha unayo kumbe na wewe unaulizia.
 
anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.
kweli wewe ni jinga kabisa unaacha kuwaandama majizi yaliyojazana ccm ambao nikisema ni kutaja orodha utawasoma siku 3 unathubutu kumjadili jjm
?
 
anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.

Umemtuhumu malaika wa bwana sasa subiri waumini wakushambulie ulikuwa hujui kama CDM wabunge na viongozi wao ni malaika?pole saana kajipange
 
anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.
Dah!!Kweli ajira ngumu...yaani Nepi ndo anakufanya uropoke hivi kama mwehu kisa ni viposho uchwara?Shame on u and all magambas....
 
anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.

Kwa hiyo unamaanisha mambo mengine yote yasimame kwa ajili ya kusubiri hilo la rushwa liishe? Tusubiri kamati iliyopewa kazi hiyo imalize kazi yake ndipo tuanze kuhoji hayo.
 
2. Zanaibu Kawawa
3. Angela Kairuki

This is an intellectual guess, kwasababu hao tunaambiwa ndiyo WABUNGE WAWAKILISHI WA WAFANYAKAZI.
 
anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.

Nilichogundua kwa haraka wewe ni mkulima,na ndugu zako wote ni wakulima ambao mifuko ya jamii
haiwahusu,ndio maana mawazo yako hayajaona unyeti wa hoja,ila kuzusha mambo yasiyokuwepo.
 
pasipo na shaka tindu lisu atasain, jenista muhagama, Zitto kabwe,na mbunge wa kisarawe maana hawa ndo walikuwa wa kwanza kuiunga mkono.ni matarajio yetu kuwa nao pia watasini
 
anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.

Huna hata ndugu mmoja unayetaka atetewe maslahi yake? Na huu uzushi mwingine umethibitishwa vipi tupe source/nyaraka mdau.
 
anataka kufunika kashfa ya rushwa inayowakabili siyo. Asuburi kwanza tuone mwisho ya hii episode ya rushwa ndani ya bunge, Kashfa ambayo na yeye ni mtuhumiwa , asitufanye wajinga.

"asitufanye wajinga" wewe na nani?! usipende generalisations zisizo na mashiko; facts zako ziko "top side down!" badala ya kusema "asikufanye mjinga" unajifanya kuwasemea watu wengi! I for one do not subscribe to your position, sorry.
 
Mnyika hawezi kutuhumiwa?

Mnyika anaweza kutuhumiwa. Ila bado hajatuhumiwa hata mara moja.

Mleta mada anatamani saaana kuona Mnyika akituhumiwa. Naona ndio maudhui ya mada yake hii.

Ushauri kwa mtoa mada: Kama unapenda sana kuona mtu fulani akituhumiwa, basi subiri mpaka pale mtu huyo atakapotuhumiwa ndio ulete mada yako, vinginevyo basi kaa kimya kwanza.
 
Back
Top Bottom