Orodha ya Wabunge waliokuwa na walio machachari

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Tuwaorodheshe,mimi naanza:-
1.Dr.Slaa
2.Ole Sendeka
3.Selelii
4.Anna Kilango
5.
6.
7.
Endelea..................
 
mkuu machachali kwenye nini, kwangu no.5 anashika Kingunge lakini kwakutetea mafisadi
 
Wengine mnawasema ni machachari lakini ukiwasikia Bungeni wakimalizia wanasema ninaunga mkono hoja mia kwa mia .Nao bado ni machachari ?
 
Mbunge machachari kwa sasa ni mh. mama mbunge wa Nkenge akifuatiwa ni Zungu anaewania uspika kipindi kijacho.
 
Mi namkumbuka mmoja alifariki kwa ajal ya bus alikuwa anatoka kagera,nlikuwa nikimskia naacha shughul zote naskiliza anachosema,bahati mbaya jina nimelisahahu pamoja na wangwe! R.i.p wote wawil tena kwa ajali
 
Alikuwa mbunge wa Biharamuro Magharibi kwa tiketi ya TLP Mh.Fares Kashemeza Kabuye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom