Kwa mwaka huu Tanzania ni ya 120. Discipline ktk jeshi ni silaha kubwa sana...ndiyo sababu ukiwa na jeshi lenye discipline unaweza kushinda vita hata ulivyotabiriwa kuwa utashindwa.
Hata hivyo hizi racking mhhhh....ukiangalia kama DRC unachoka au hata MONUSCO na kikosi cha Tz, Malawi na SA CIA wameona ni majeshi ya DRC?
U.S.A ina many war ships, planes, vehicles zaidi ya hizo...Ingia wikipedia ya 2015 Top World millitary...!!
Russia hapo umeongeza sana hawana hizo war ships... especially wana only 3 active landing ship...!!! pia hiyo table imeongeza sana vifaa vya Russia ni uongo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.