Orodha ya Makabila ya Uingereza

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Wana JF ninaombeni kujua hivi nchini uingereza kuna makabila? na kama yapo naomba orodha yake japo kwa uchache, kwa mfano Tanzania kuna Wahehe wanaongea kihehe, Wahaya wanaongea kihaya, Wananyakyusa halikadhalika. :frusty:
 
Mkuu naona una kiu ya kujua.
Kwa uzoefu mdogo nilionao makabila makuu ya asili huko Uingereza ni manne,

Welsh- walioko sehemu za Wales
Scots-walioko sehemu za Scotland
Irish-walioko Ireland zilizo gawanyika
English(au kwa asili ya zamani zaidi ni Cornish)-walioko kusini mwa England yenyewe na hawa mara nyingi ndo wanajiita wazawa!

Makabila haya ndo yamekuwapo huko kwa miaka mingi na zamani wamepigana mara myingi sana vita vya kikabila kabla ya kutawaliwa kiujumla na wazawa wa England.
Kwa siku ya leo wote wanajiita "whites" kwa vile makabila yameongezeka sana hivileo huko Uingereza,
Rejea classification ya utawala,

The police services of the UK began to classify arrests in racial groups in 1975, but later replaced the race code with an Identity Code (IC) system.[12]
  • IC1 White person
  • IC2 Mediterranean person
  • IC3 African/Caribbean person
  • IC4 Indian, Nepalese, Pakistani, Maldivian, Sri Lankan, Bangladeshi, or any other (South) Asian person
  • IC5 Chinese, Japanese, or South-East Asian person
  • IC6 Arabic, Egyptian or Maghreb person
  • IC0 Origin unknown
This classification is still referred to on some police websites and police chase TV shows, e.g. "Driver is IC1 male, passenger is IC3 male".[13]
From 1 April 2003, police forces were required to use the new system described above. Police forces and civil and emergency services, the NHS and local authorities in England and Wales may refer to this as the "16+1" system, named for the 16 classifications of ethnicity plus one category for "not stated". The IC classification is still used for descriptions of suspects by police officers amongst themselves, but does risk incorrectly identifying a victim a witness or a suspect compared to that person's own description of their ethnicity. When a person is stopped by a police officer exercising statutory powers and asked to provide information under the Police and Criminal Evidence Act, they are asked to select one of the five main categories representing broad ethnic groups and then a more specific cultural background from within this group.[14] Officers must record the respondent's answer, not their own opinion.

Naomba kuwasilisha mkuu, kama nimekosea I stand to be corrected.
 
Wanayo makabila ingawa kwao wao makabila hayaashirii uzawa wa damu kama tulivyo sisi. Zamani wao pia makabila yalikuwa ni uzawa.

haya hapa chini ni baadhi tuu ya makabila yao.
1) Geordies (watu wa newcastle)
2) Scousers- liverpool
3) Manchunians - Manchester
4) Cockney - London
5) Glaswegian - Glasgow
.
.
.
n.k
 
kwao utaifa kwanza makabila baadaye....huku kwetu akina kikwete ndo dini na ukabila kwanza utaifa baadaye....hii ndiyo tofauti yetu na wao
 
tena leo kuna mpuuzi mmoja anajiita chifu kasema kwenye katiba mpya uchifu urudishwe.
 
Kwa hiyo wanaongea lugha za makabila yao pia??

Yep!!
n
Na ukifika huko UK mkuu lugha ya kiingereza unayoongea wewe na mimi ni ile "the Queens english".Mara nyingi wale wasio English wanashangaa sana inakuwaje mtu mweusi anazungumza kiingereza cha kisomi!!!
Lugha zao hizi hapa:

List of the languages of the British Isles
The British Isles has 12 native languages of which 2 have been revived in the last 100 years, Cornish & Manx. There are the celtic languages of Wales, Ireland & Scotland along with the Romance languages of the Channel Islands.
There are also 4 extinct languages of the British Isles;
Mkuu nawakilisha.
 
Asante mkuu
 
To me hizo tofauti ni lahaja tu (Accent) kwani hutofautiana zaii katika matamshi ya maneno (pronounciation) zaidi kuliko miundo ya sentensi na maana, hivyo huwezi kuziita lugha tofauti isipokuwa lahaja, ila Scottish accent, na Irish accent zimatofauti kubwa na "Queens English". kwa mfano Scottish ni nzito compared to Queens English
 
Sante
 
Back
Top Bottom