Orodha ya majina ya waombaji wa mkopo HESLB ambao fomu zao zina makosa

Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
5,249
5,312
Bodi ya mikopo elimu ya juu imetoa majina ya waombaji mkopo ambao fomu zao zina makosa mbali mbali ikiwemo kukosekana kwa picha ya mwombaji,sahihi,mihuri na kadhalika

Kuyapata majina tembelea website ya bodi http://heslb.go.tz
 
tunashukuru kwa taarifa mkuu vp kwa ambao wapo jeshini na fomu zao zinahitajika kusainia je mtu yeyote wa karibu anaweza kwenda kumsainia..??
 
tunashukuru kwa taarifa mkuu vp kwa ambao wapo jeshini na fomu zao zinahitajika kusainia je mtu yeyote wa karibu anaweza kwenda kumsainia..??

Ssidhani kama hiyo inawezekana.Nadhani watapewa pass waje warekebishe kama walivyofanya mwaka jana
 
Hayo majina ni ya waombaji wapya au kuna ya continuous wa mara ya pill?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForum
 
Back
Top Bottom