Orodha ya diss tracks za kibongo, Sehemu ya Kwanza

hapo kwa Miraji niomba maelezo kaka,maana baadae Pina alikuja kumdiss Miraji imekaaje hapa..!!??
Sikiliza hiyo track ni dirty version ndio maana watu wengi hawakuisikia
 
Attachments

  • BEEF = KIKOSI.mp3
    5.6 MB · Views: 594
hapo kwa Miraji niomba maelezo kaka,maana baadae Pina alikuja kumdiss Miraji imekaaje hapa..!!??

Miraji alikuwepo Kikosini, ila sio kikosi hichi cha Pina, kile Kikosi cha Hashimu "Dogo".... Kikosi kilichokuwa kimejaa falsafa na Itikadi....

Baadae wana wengi tu waliondoka Kikosini, wakina Chisondi, Major, Miraji, Hashimu, PW, na wana wengine tu.....

Yah Pina alimtukana sana Miraji kipindi kile kwenye ile ngoma yake na washkaji wake wa kikosi.

Ni mambo ya kupishana tu kama unavyojua ma emcee..... Ila Miraji alikuwa mwanafunzi mzuri sana wa Hashimu Dogo na kuna ngoma moja Miraji amechana kiustaarabu hadi masksni tukawa tunabishana kuwa sio Miraji..... ooh those day jamani!!
 
HAAAHAAA..mwanangu umenikumbusha kitambo sana,vip hauna copy mwanangu unirushie??vip pia kuhusu Saigon nayeye ajiengua na kwanini pina ajibebeshe madaraka naskia wakina kaka mkubwa Hasheem ndo wamemlea?
 
Ni burudani sana ilikuwa Mkuu...

Shida ya kazi nyingi hizi kipindi kile wengine hatukuwa na CD, hivyo tulikuwa tunatumia sana tape na baadae CD kidogo sema kulikuwa na tatizo kubwa la kuibiana.
Unampa mtu aende kuchoma, harudishi au kapoteza au na yeye kagawa tena, yaani vurugu mechi tu.
Nilikuwa na maktaba kubwa sana ila dah katika vilinge tofauti na wana wakikuona una data nyingi wanakuomba kwa roho safi ila kurudisha majanga basi wamenifilisi maktaba yangu yote hapa nimebaki na viji-cd na tena vina scratch sana nasikilizia ubishi tu na tena kuna mwana kachukua ile CD ya Freestyle ya kikosi wamerekodia Watengwa Recs!

Nyingi nazikumbukia kichwani tu hapa...!

Saigon hajawahi kuwa Kikosini ila alikuwa "Diplomats" na wakina Balozi Dola Soul....
Ukitaka kujua hili game limezungukwa na vilaza saiv, eti watu wanadiriki kumuita Fid eti mkongwe na kuwasahau watu kama wakina Saigon, katika mizania ya game ya hiphop hapa bongo, Fid ni katoto sana tena kabisa kwa Saigon.
 
natumia ''torch yenye simu'' sioni kitufe cha like...umenikumbusha old times sana.big up kiongozi
 
Dah, Mkuu unanipa kibarua sana hapa kwanza hiyo kazi ni ya kitambo hata CD ina-scratch balaa, halafu nadhani nimeibiwa hiyo CD....

Pia sina mda wa kupitia track kwa track ila generally ni mixtape iliyochanganya freestyle za Hashimu "Dogo" , Kala Pina na baadhi ya washkaji wa pale Kikosini na washkaji wengine wa Atown kama "Majeruhi" na washkaji wengine wa huko Atown.

Walitoa Version nyingi ila kwenye kupatikana huku mtaani zilikuwa zinapatikana vipande-vipande mfano CD niliyoipataga Mimi ilikuwa na track kama 14 hivi ila niliiambiwa original yenyewe ilikuwa na Track zaidi ya 20.

Kwa kifupi humo pamoja na Diss, lakini ni kazi ambayo inawakilisha ustadi wa sanaa ya hiphop wa hali ya juu kwa mtu anayemjua Hashimu "Dogo" sihitaji kueleza sana basi, ila jua tu humo Hashimu ameharibu sana na amefundisha namna ya kufanya diss na jinsi ya ku-freestyle ambapo alieleza aina 3 za Freestyle... lol..!

Bado nashangaa sana game ya sasa kumtawaza Fid kama ndio eti emcee mkali wa hiphop, mweh! Game yetu hii full kupotea.

Tutazidi kushirikishana kuhusu vitu tofauti vya Game yetu.

Speaking of Hashim Dogo,umenikumbusha mstari mmoja wa Songa anasema,"Sele atabaki Afande,mfalme Hashimu Dogo".
Nilikuwa sijajua Songa alikuwa anamaanisha kitu gani,ila leo nimejua sasa japokuwa sijasikia ngoma za huyo jamaa.
 
Ni burudani sana ilikuwa Mkuu...

Shida ya kazi nyingi hizi kipindi kile wengine hatukuwa na CD, hivyo tulikuwa tunatumia sana tape na baadae CD kidogo sema kulikuwa na tatizo kubwa la kuibiana.
Unampa mtu aende kuchoma, harudishi au kapoteza au na yeye kagawa tena, yaani vurugu mechi tu.
Nilikuwa na maktaba kubwa sana ila dah katika vilinge tofauti na wana wakikuona una data nyingi wanakuomba kwa roho safi ila kurudisha majanga basi wamenifilisi maktaba yangu yote hapa nimebaki na viji-cd na tena vina scratch sana nasikilizia ubishi tu na tena kuna mwana kachukua ile CD ya Freestyle ya kikosi wamerekodia Watengwa Recs!

Nyingi nazikumbukia kichwani tu hapa...!

Saigon hajawahi kuwa Kikosini ila alikuwa "Diplomats" na wakina Balozi Dola Soul....
Ukitaka kujua hili game limezungukwa na vilaza saiv, eti watu wanadiriki kumuita Fid eti mkongwe na kuwasahau watu kama wakina Saigon, katika mizania ya game ya hiphop hapa bongo, Fid ni katoto sana tena kabisa kwa Saigon.

100% true
 
Speaking of Hashim Dogo,umenikumbusha mstari mmoja wa Songa anasema,"Sele atabaki Afande,mfalme Hashimu Dogo".
Nilikuwa sijajua Songa alikuwa anamaanisha kitu gani,ila leo nimejua sasa japokuwa sijasikia ngoma za huyo jamaa.

Well, duh Songa ana huo mstari kumbe?
Hawa vijana wapya nimemsikiliza sana KADGO na kumuelewa zaidi...!

Ila huo mstari ni wa ukweli sana. Hashimu "Dogo" was a phenomenon! Kwanza Unit walimbatiza jina la "Bongo psychological" baada ya kuachia ile ngoma yake ya "Behind the shadow"

Tembelea hii site ya hawa jamaa wa tzhiphop!!

Kama una player unaweza kupata track kadhaa za huyo Mtu, japo zipo chache!

Jamaa ameacha Mzimu wake unatutesa mpaka sasa na hajapatikana mtu wa kuvaa viatu vyake na wala haonekani kutokea kwa hivi karibuni ukijumlisha na mwenendo wa game kwa ujumla dunia imekuja na new era of rap, yamejaa matakataka tu, so ni fair ku-conclude kuwa jamaa amestaafu na utamu wake!!

Kuna wapuuzi wanataka kuiga-kuiga na kujiita majina ya ukali, wakati jamaa Hashimu hajawahi kujiita jina lolote wala mbwembwe za media hakuwa nazo!

Pamoja..!
 
Ngoja nimfanyie mchakato wa kumtafuta kwanza,Mpaka Songa kumpa cheo naamini atakuwa anaweza.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Nadhani inaitwa "shadow of dark destiny"

Yap Mkuu, humo humo!!

Jina halisi limekuwa na mkanganyiko sana si unajua ngeli aliyotambaa nayo mule sio ya kawaida.....!!

Na siku zote hata DJ Skillz alikuwa anaitambulisha kama 'Behind the shadow of dark destiny", binafsi nikawa nakatisha "behind the shadow"...!

Pamoja.
 
Speaking of Hashim Dogo,umenikumbusha mstari mmoja wa Songa anasema,"Sele atabaki Afande,mfalme Hashimu Dogo".
Nilikuwa sijajua Songa alikuwa anamaanisha kitu gani,ila leo nimejua sasa japokuwa sijasikia ngoma za huyo jamaa.

pia kuna line nash mcee anasema "nash hashim KUBWA, Dogo zama za kale"
 
Kabla ya nako 2 nako na watengwa kulikuwa na hardical unit. Lord eyez na Jcb wakiwakilisha. Then chindo katoka nairob huko ndo akaanzisha watengwa na jcb, lord akaja na n2n. Hapakuwa na bifu coz wote ni washkaj.

kipind hicho walikuwa wanashindana ku freestyle 2 na ubabe wa kila kundi na territory yao..viwanja kama crystal na b.o.t club ndo ilikuwa kilingine.

Sasa hyo bifu yao ilizimwa vip manake kipindi kikosi wamewazingua nako, watengwa waliwapa support nako japo watengwa walikuwa washapiga track na kikosi.
Beef la Lord Eyez na JCB lipo hadi leo. Juzi JCB kafanya ngoma na Pina na Fid, kamchana Lord kiasi cha kutosha tu humo.
 
Dah heshima sana Mtu mzima, kwa kuweka kumbukumbu za Game yetu! Nimependa sababu una data sana unaifuatilia game.
Thanks a lot Mkuu...

Ila wakati mwingine hizi diss za kuchukua mstari mmoja tu kwenye track inakuwa sio nzuri sana labda huo mstari uwe dhahiri kabisa kwa kutaja jina la Emcee mwingine au kuhusianisha kitu moja kwa moja. Ila still diss ni diss tu.

Diss tamu ni zile za mtu anakutungia nyimbo kabisa kama "Kiraka Uso wa Mbuzi aka Rado" alivyomshukia Fid kwenye "usiulize".....
Pia kuna zile diss za kutoa mixtape maalum, nadhani hii kwa bongo iliasisiwa na Kikosi Cha Mizinga (Ya Hashimu Dogo sio hii ya Pina)
Mixtape yao ya kwanza nadhani ilikuwa mwaka 2003 kama sijakosea tena waliifanyia Arusha "Watengwa Records" ule Mzigo ulikuwa aibu asikwambie mtu, ile ilikuwa ni diss ya Industry nzima ya music ya Bongo.

Humo unampata Miraji Kikwete alimtukana sana Ruge na Clouds kuliko hata Vinega Magenge!

Diss zinatia radha sana ya game ila kwakuwa game yetu imelala basi hatufaudu, raha ya diss ni pale watu mnapeana diss kwenye records then mnakutanishwa kwenye freestyle hapo ndio inaamua nani mkali.

Hata diss za Nas na Jigga ziliishia kwenye freestyle battle ambapo Jigga alikaa....

Ukumbi wako kamanda tupe radha, nitakuwa msikilizaji hapa!

Wewe ni GWALU wa Kikosi ?
 
Dah, Mkuu unanipa kibarua sana hapa kwanza hiyo kazi ni ya kitambo hata CD ina-scratch balaa, halafu nadhani nimeibiwa hiyo CD....

Pia sina mda wa kupitia track kwa track ila generally ni mixtape iliyochanganya freestyle za Hashimu "Dogo" , Kala Pina na baadhi ya washkaji wa pale Kikosini na washkaji wengine wa Atown kama "Majeruhi" na washkaji wengine wa huko Atown.

Walitoa Version nyingi ila kwenye kupatikana huku mtaani zilikuwa zinapatikana vipande-vipande mfano CD niliyoipataga Mimi ilikuwa na track kama 14 hivi ila niliiambiwa original yenyewe ilikuwa na Track zaidi ya 20.

Kwa kifupi humo pamoja na Diss, lakini ni kazi ambayo inawakilisha ustadi wa sanaa ya hiphop wa hali ya juu kwa mtu anayemjua Hashimu "Dogo" sihitaji kueleza sana basi, ila jua tu humo Hashimu ameharibu sana na amefundisha namna ya kufanya diss na jinsi ya ku-freestyle ambapo alieleza aina 3 za Freestyle... lol..!

Bado nashangaa sana game ya sasa kumtawaza Fid kama ndio eti emcee mkali wa hiphop, mweh! Game yetu hii full kupotea.

Tutazidi kushirikishana kuhusu vitu tofauti vya Game yetu.

Hashim Dogo is the most best Mcee of All Time In Tz
 
Back
Top Bottom